Clouds the best radio station

Clouds the best radio station

Ila mimi nina mashaka na ubunifu wa watangazi wetu....kuna baadhi ya vipindi CLOUDS NA EA radio vinanisikitisha sana...unakuta watu wanaongea onea tu...mara matangazo mara mziki...muda unakwenda tu...mara kipindi kinakwisha....sijui vizui lakini kwenye kuandaa vipindi na kutangaza si kunakuwa na script au..?? Mi muda mwingine naona kama wanapoteza musa..saa nyingine miwsho wa kipindi najiuliza sasa hawa walikuwa wanatangaza nini..?
 
We kweli mbwa jike, unapata wapi muda wa kusikiliza vipind vyote vya kina RU-GAY amature
 
Huyu alipie Hilo tangazo afu sorry Hivi hiyo radio inafanana na Ile ilokufa WAFUFM????
 
Back
Top Bottom