Ila mimi nina mashaka na ubunifu wa watangazi wetu....kuna baadhi ya vipindi CLOUDS NA EA radio vinanisikitisha sana...unakuta watu wanaongea onea tu...mara matangazo mara mziki...muda unakwenda tu...mara kipindi kinakwisha....sijui vizui lakini kwenye kuandaa vipindi na kutangaza si kunakuwa na script au..?? Mi muda mwingine naona kama wanapoteza musa..saa nyingine miwsho wa kipindi najiuliza sasa hawa walikuwa wanatangaza nini..?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.