Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swadakta.Yani nyie sasa mmeshakuwa kama matahira...kila jambo kafanya bashite...duuu..
Itafika kipindi mtashindwa kuwapa mimba wake zenu mtasema sababu ni Bashite..
Unajiweka kinafiki upende wa shetani. Muda utakufundisha ubaya hauna maisha na haushindi.huyu bashite kila kitu yy,vijana fanyeni kazi achaneni na huu uzushi wa mitandaoni ,yaani kufeli kwao wenyewe clouds wamsingizie bashite.
Mtoto wa mfalme sio mwanaume mmoja. Ujue kutofautishaMwanaume mmoja DAB anasumbua maelfu ya raia wa Dar.
Sawasawa mkuuMtoto wa mfalme sio mwanaume mmoja. Ujue kutofautisha
Kwani huu Uzi umeandikwa na Management ya Clouds mpaka useme Clouds wamefeli wenyewe wasimsingizie Bashite??!huyu bashite kila kitu yy,vijana fanyeni kazi achaneni na huu uzushi wa mitandaoni ,yaani kufeli kwao wenyewe clouds wamsingizie bashite.