Clouds wagoma kuleta msanii wa nje kwa hofu ya Bashite Dar.

Clouds wagoma kuleta msanii wa nje kwa hofu ya Bashite Dar.

huyu bashite kila kitu yy,vijana fanyeni kazi achaneni na huu uzushi wa mitandaoni ,yaani kufeli kwao wenyewe clouds wamsingizie bashite.
Unajiweka kinafiki upende wa shetani. Muda utakufundisha ubaya hauna maisha na haushindi.
 
huyu bashite kila kitu yy,vijana fanyeni kazi achaneni na huu uzushi wa mitandaoni ,yaani kufeli kwao wenyewe clouds wamsingizie bashite.
Kwani huu Uzi umeandikwa na Management ya Clouds mpaka useme Clouds wamefeli wenyewe wasimsingizie Bashite??!
 
IPECACUANHA I feel sorry for you, we ni nani mpaka umwite mwenzio shetani, isiwe kama chuma kikiwa cha moto nacho kinakuwa cha moto, kikiwa cha baridi nacho cha baridi, unaendekeza kusikiliza uzushi wa wanasiasa kuliko maisha yako, shauli yako, si wenyewe tushakuwa makada wa hicho chama kinachoendekeza huo uzushi na ilikuwa kidogo tufukuzwe chuo. Changanya akili za kuelezwa na kile unachokifahamu vyema ,ukweli uwe uchungu kuumeza au utamu kuutema, we unapoteza muda wako kwa kufuatilia uzushi, utafikiri mtu uliyekata kichwa ,unashindwa kufikiri at your own angle na mwisho wa siku muda huu unaoupoteza ndio utakao kuhukumu wewe na familia yako,huku huyo bashite akiendelea kupeta.
 
Nampenda sana Daudi Albert Bashite :

Huyu jamaa ni Mtawala na si kiongozi,Anaweza sema watu wote amabo hawajapita tohara awakute hospitali mnazi mmoja na watu wakajitanguliza
 
Back
Top Bottom