Clouds wamaliza adhabu ya TCRA warudi hewani kwa mbwembwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hatimaye Clouds Media Group wamemaliza kutumikia adhabu ya kifungo cha siku 7 waliyopewa na TCRA na wamerudi hewani rasmi.

Kinachoendelea sasa luningani ni sherehe ya wafanyakazi baada ya kutoka kifungoni, ni full shangwe.
CCM hoyeeee!

Maendeleo hayana vyama!
 
Hiyo kisaikolojia inaonesha hawakukubaliana na ile adhabu, wanaona walionewa ila wakakosa pakukimbilia, ndio maana leo wanafurahia kutoka jela ya uonevu.
Walijifanya proCCM Sasa yaliyowakuta watajitakari kwa umakini.
 
Kosa wafanye NEC
Adhabu wapewe CMG.

Ujinga ulioje huu
 
Wapigwe ban ya mwezi mzima
 
Wanafanya sherehe? Kwahiyo sisi tuliyowapa adhabu wametuona wapuuzi? Subiri
Mbona gazeti la Uhuru la CCM lilikuwa na habari hiyo hiyo waliyoitangaza Clouds na halijafungiwa?
 
Hiyo kisaikolojia inaonesha hawakukubaliana na ile adhabu, wanaona walionewa ila wakakosa pakukimbilia, ndio maana leo wanafurahia kutoka jela ya uonevu.
Na hawataweza kukimlilia kwa beberu, hao ni wazawa, shida zao zitatatuliwa na wazawa wenzao.
Hao ni wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…