Clouds wamaliza adhabu ya TCRA warudi hewani kwa mbwembwe!

Clouds wamaliza adhabu ya TCRA warudi hewani kwa mbwembwe!

Naona hapo ndipo tilipofikia na serikali ya viwanda.
1. MwanaHALISI - Fungia
2. Tanzania Daima - Fungia
3. Mawio - Fungia
3. Wasafi FM - Piga faini ndefu sana
4. Clouds - Fungia
5. Redio Uhuru - (Kosa kama la Clouds) - Hakuna adhabu
Wasafi
Walifanya uchaf gani Tena mkuu? Tatizo wabongo sisi ni woga. Hao wangeungana kwa umoja wao Wakapiga kelele kwa umoja wao na kugoma kutoa habari za serikali..shezny zao
 
Baada ya kukaa lockup kwa wiki leo clouds fm wameanza programu zao redio na tv. Lakini kote naona ni kama wanahaha waanzeje. Ratiba kamili yao kama wametupilia. Kweli vitisho vya serikali ya ccm na mkwara wake hadi hawa waende live ziara za mgombea wao warushe live mikutano yake ya kampeni.
 
Wasafi
Walifanya uchaf gani Tena mkuu? Tatizo wabongo sisi ni woga. Hao wangeungana kwa umoja wao Wakapiga kelele kwa umoja wao na kugoma kutoa habari za serikali..shezny zao
Kuna wimbo wa Rayvany wenye explicit content, waliupiga kwenye redio yao
 
WALICHOKIFANYA CLOUDS NDIO KILICHOFANYWA NA WASAFI TV NA MAGAZETI YA UHURU NA LILE GAZETI LA MUSIBA LA JAMVI LA HABARI, ILA ADHABU WAMEPEWA TU CLOUDS HIVYO LAZIMA WADAU TUJIULIZE JE TCRA WALITENDA HAKI AU KUNA KILICHO NYUMA YA PAZIA? TCRA WAONDOE HIZI DOUBLE STANDARD BWANA. NA PIA ILI KULINDA BIASHARA NA AJIRA ZA WATANZANIA KULIKUA NA ADHABU NYINGINE NYINGI TU ZA TOFAUTI KULIKO KUKOMOANA.
 
Back
Top Bottom