Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni
1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. Zaiid 19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu
 
Duuuh kweli CMG sio wa kispotspot.ukikaa vibaya wanakufyekelea mbali
 
Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni
1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. Zaiid 19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu
Hakiyanani yani niende kukanyagana leaders kwa ajili ya list hiyo? Kweli fiesta inakwisha habari yake, afu ukiangalia sababu ya kutokua na wasanii wakubwa utakuta ni mabeef yao ya kijinga.Mimi na Fiesta kiukweli basi.
 
hivi young killer anatatizo gan na mawingu maana msimu huu hajaambulia shoo hata moja baburayi😧😧
 
Back
Top Bottom