Watakuwepo mbona....Lakini duuh Fiesta imepoteza mwelekeo kabisa, yaani hakuna hata Mega Star mmoja??....wapi Kiba?Clouds washenzi sana, yani hii ndo fiesta ya dar? Mbona haina hata wasanii wakubwa? Kina daimond na hamonaizi waku wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwepo mbona....Lakini duuh Fiesta imepoteza mwelekeo kabisa, yaani hakuna hata Mega Star mmoja??....wapi Kiba?Clouds washenzi sana, yani hii ndo fiesta ya dar? Mbona haina hata wasanii wakubwa? Kina daimond na hamonaizi waku wapi?
Amber Rutty na Dudu Baya vipi?Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni
1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. Zaiid 19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu
Hao wasanii wote wanamezwa na kukalishwa na navy kanzo. Sijaona hata msanii ambaye kalamba million 1 hapo hao ni ni vilaki laki tu
Mbona kuna tetesi kuwa kuna wasanii kibao wanafanya shoo bureHuu ujinga wa kuzusha kuwa wasanii wanalipwa laki laki usipokanushwa unageuka kuwa kauli za kweli
Sio kila mtu anaweza pata nafasi.Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni
1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. Zaiid 19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu
Mbona kuna tetesi kuwa kuna wasanii kibao wanafanya shoo bure
Uyo Manager hana neno kwa boss ..ni mfanya kazi kama wengineNandy atakuwa na show nyingine some where na ni jambo la kawaida sana so hamna haja ya kuhusisha na swala la kuwa na Diamond Dubai ambapo wote walikua na show ya Pepsi.
By the way, hivi unafahamu kuwa Dogo Janja na Chege managers wao ndiyo Managers wa Wasafi ila wao wako kwenye show ya Fiesta??
Hao wote wanakalishwa na Harmonize peke yake.Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni
1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. Zaiid 19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu
ni kweli kabisa hana neno kwa Boss Kusaga.Uyo Manager hana neno kwa boss ..ni mfanya kazi kama wengine
kwani ana hit song??
sijuiWangap hawana hit song lakini wameitwa
sijui
Nandy atakuwa na shoo nyingineBasi nandy hana haja ya kulalamikiwa kwa niaba yake. Clouds wamembeba sana hivyo ni muda wake nae kujibeba
Aslay na blue vipiUnaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni