Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

khaaaaaa bichwa imekuwa mwenge,wamekoma wameacha hawarudii tena.
 
Mi nafkri clouds waendelee kuwanyonya had akil ziwakae sawa...mana ukiwaambia hawaelew
 
Nipo mbona muda tu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeshtuka kama umeona mzimu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Yaani acha kitambo Sana hatujakutana humu kwenye korido,shukrani ziende kwa muumba Kama uko na afya tele
 
Hapa Nick Mbishi,hapa One the incredible,Hapa Konde boy hapa Navy Kesnzo,Hapa Mond Bin Laden kule Rayvan......ongeza Nandy wafe zaidi......HUU MCHEZO USIUCHEZEE WEWEEEE....

Upande wa pil....Hapa Whozu,Hapa j melody pal Linah Sanga kule nani makaptura sijui......HUU UPUUZI MTUPU.
 
Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni
1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. Zaiid 19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu
Nandy atakuwa na show nyingine some where na ni jambo la kawaida sana so hamna haja ya kuhusisha na swala la kuwa na Diamond Dubai ambapo wote walikua na show ya Pepsi.

By the way, hivi unafahamu kuwa Dogo Janja na Chege managers wao ndiyo Managers wa Wasafi ila wao wako kwenye show ya Fiesta??
 
Huku mambo ni hiviiii,, ongeza na Navy kenzoooo .
Screenshot_2018-11-22-10-23-50.jpeg
 
Back
Top Bottom