Wamewapa kipaumbele. Chipukizi na wakongweHapo wasanii watatu tu ndio wanajua kufanya shows za maana Ben Paulo, Barnaba na kiroboto.
.
Rostam na weusi ni wabunifu tu. Wengine wote yoooo sema yeeeeaaaaa nyingi sanaaa yani level zao bado ndogo
Clouds washenzi sana, yani hii ndo fiesta ya dar? Mbona haina hata wasanii wakubwa? Kina daimond na hamonaizi waku wapi?
Wanaandaa ya kwao ya wasafi festival..Clouds washenzi sana, yani hii ndo fiesta ya dar? Mbona haina hata wasanii wakubwa? Kina daimond na hamonaizi waku wapi?
Nifah[emoji15] [emoji15] upo?
sanaaKitambo sana Mkuu,naona bado unapigia chapuo chama lako.
Hakiyanani yani niende kukanyagana leaders kwa ajili ya list hiyo? Kweli fiesta inakwisha habari yake, afu ukiangalia sababu ya kutokua na wasanii wakubwa utakuta ni mabeef yao ya kijinga.Mimi na Fiesta kiukweli basi.Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale watakaotumbuiza Jijini Dar ess salaam. Majina yaliyotangazwa Hadi sasa ni
1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. Zaiid 19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu
Sijaiona hiyo videoKale kavideo na mond Dubai kamewapagawisha
..mbona wanateseka hawa
Kuna la clip Yupo na mond dubaiSijaiona hiyo video
Hawa jamaa kawaida yao kunyanyasa wasanii kuja kwa haya matamasha mengine kunasaidiahivi young killer anatatizo gan na mawingu maana msimu huu hajaambulia shoo hata moja baburayi😧😧