Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

khaaaaaa bichwa imekuwa mwenge,wamekoma wameacha hawarudii tena.
 
Mi nafkri clouds waendelee kuwanyonya had akil ziwakae sawa...mana ukiwaambia hawaelew
 
Nipo mbona muda tu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeshtuka kama umeona mzimu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Yaani acha kitambo Sana hatujakutana humu kwenye korido,shukrani ziende kwa muumba Kama uko na afya tele
 
Hapa Nick Mbishi,hapa One the incredible,Hapa Konde boy hapa Navy Kesnzo,Hapa Mond Bin Laden kule Rayvan......ongeza Nandy wafe zaidi......HUU MCHEZO USIUCHEZEE WEWEEEE....

Upande wa pil....Hapa Whozu,Hapa j melody pal Linah Sanga kule nani makaptura sijui......HUU UPUUZI MTUPU.
 
Nandy atakuwa na show nyingine some where na ni jambo la kawaida sana so hamna haja ya kuhusisha na swala la kuwa na Diamond Dubai ambapo wote walikua na show ya Pepsi.

By the way, hivi unafahamu kuwa Dogo Janja na Chege managers wao ndiyo Managers wa Wasafi ila wao wako kwenye show ya Fiesta??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…