Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

Clouds washenzi sana, yani hii ndo fiesta ya dar? Mbona haina hata wasanii wakubwa? Kina daimond na hamonaizi waku wapi?
Watakuwepo mbona....Lakini duuh Fiesta imepoteza mwelekeo kabisa, yaani hakuna hata Mega Star mmoja??....wapi Kiba?
 
Amber Rutty na Dudu Baya vipi?
 
Huu ujinga wa kuzusha kuwa wasanii wanalipwa laki laki usipokanushwa unageuka kuwa kauli za kweli
Hao wasanii wote wanamezwa na kukalishwa na navy kanzo. Sijaona hata msanii ambaye kalamba million 1 hapo hao ni ni vilaki laki tu
 
Nilijua tu pale ruby maana ni ghafla tu rubby alianza kusifiwa
 
Sio kila mtu anaweza pata nafasi.
 
Uyo Manager hana neno kwa boss ..ni mfanya kazi kama wengine
 
Hao wote wanakalishwa na Harmonize peke yake.
 
wasanii wote hakuna hata wenye hit song hata moja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aslay na blue vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…