Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

Hapo wasanii watatu tu ndio wanajua kufanya shows za maana Ben Paulo, Barnaba na kiroboto.
.
Rostam na weusi ni wabunifu tu. Wengine wote yoooo sema yeeeeaaaaa nyingi sanaaa yani level zao bado ndogo

Hahaha sema yeaaah sema ooooho
 
Kweli wabongo vichwa panzi... Jux na Nandy wapo Nairobi coke studio saa wajigawe Mara 2?
 
Kama Byser hayupo siangalii lishow lao.

Nimenunaaaa[emoji34]
 
Kweli wabongo vichwa panzi... Jux na Nandy wapo Nairobi coke studio saa wajigawe Mara 2?
Ni jambo la kusema tu Jux na Nancy wapo Nairobi Coke studio rahisi tu kuna sababu gani ya kusema Wabongo vichaa panzi.
 
Mimi mars aka kadada kameimba nyimbo gani mpaka apate shavu fiesta
 
Ongeza young killer,Dully
 
Yaani mie nikamuangalie Amber lulu!.. mie huyo????.. aah wapi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…