kipanya ni nani CMG?Kipanya naye ni PANYA
Hata mpinge vipi hamtakaa mzikwe kishujaa kama JPMUsiwe mwakilishi wa umma, hayo ni maoni yako na sema atakutana na nguvu yako. Umma uutajao ni huo alio kuwa anawadhalilisha kwa kuwaita wanyonge, kisa amewafunga midomo? Hao alio wanyima uhuru wa kuchagua viongozi wawatakao?
Kipanya siyo wa kumwamini hata chembe!
Ndiyo maana China wanafanyaga yao.. hawanaga discussion na mwizi, mla rushwa na wengine wa kufafana na hao... ALIYEHUSIKA NA UWANJA WA KWA MKAPA, KESHATANGULIZWA MAANA HAUKUTAKIWA KUWA VILE ULIVYO, ULIKUWA DESIGNED UWE ZAIDI YA VILE... alioshirikiana nao huku kwetu wanapeta, ukute hata kaburi la mwenzao hawajui lilipo..!!Hivi ni kwann sisi waizi wa kuku tunapigwa sana mvua mahakaman lakin Hawa wabadhilifu wa pesa nyingi za serekali huwa hawachukuliwi hatua yoyote? Yani inachukuliwa kama kashfa tu na mwisho wa siku wanaachwa wanaendelea kuwa wanasiasa au wanaachana na siasa na wanaendelea kula maisha kwa pesa za ufisadi, inawezekana uwizi kwa wanasiasa kuiba pesa nyingi unaruhuswa kisheria
Ndo mnapochemkiaga... hamna hoja... YAANI HAPO UNATAMANI USEME CAG NI WA CHADEMA NA AMETUMWA NA MABEBERU... ila namna ya kuiweka ndo ngumu. haiwekeki...Na chadema nao wameiba huku
USISHANGEATCRA WAKASEMA NAO... MAANA HAWAJABALANSI STORI... WANGEMUITA NAYE ASEME YAKEHivi CAG alikagua Clouds media? Kama sio wao hawatakiwi kujibu, hata utaratibu wa kujibu hawajui. Kama wana any evidence wapeleke kwa aliyekaguliwa apeleke kwa CAG mambo yaishe sio kupiga porojo za maneno tu.
Ishafutikatunataka atuonyeshe EFD receipt ya TRA waache maneno.
Ni kweli, maana wameiba mabilioni yote yanayotajwa kwenye ripoti ya CAGChadema ni wezi
Usidhani ikifutika hard copy basi huwezi pata tena... Kwani TRA wanajuwaje kuwa umeuza kitu fulani kwa bei fulani? AU unajuwa jinsi EFD machines zinavyofanya kazi? Unajuwa RETURNS ni nini?Ishafutika
Hili liko wazi kuwa mkaguliwa huwa na nafasi ya kufuta hoja za ukaguzi zinazojitokeza iwapo atatoa au kuwasilisha majibu sahihi ya hoja/queries zilizoibuliwa ikiwa ni pamoja na viambatanisho vinavyohitajika.Ifahamike kuwa ripot ya CAG inakuwa ni uhalisia wa kila jambo. Wakaguzi hawaondoki sehemu pasipo kupata maridhiano ya pande zote mbili kukubali.
Mfano mimi nimenunua kitu cha laki 3 na sina risiti. Mkaguzi akija kuuliza risit ipo wapi, nikamwambia sina au nikatoa ambayo ni nje ya utaratibu. Basi mkaguzi yeye ataandika ule uhalisia.
Ndo maana huwezi ukakuta mabenki, taasisi, vyama n.k vinapinga uhalisia wa ripoti ya mkaguzi.
Ifamike pia, kabla CAG hajasoma hizo hesabu zake, mashirika kama ATCL, TPA wanajua kabisa ni madudu gani katika mashirika yatakwenda kuwekwa wazi. Wanajua kabisa kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya mwisho.
Ni aibu kubwa kwa taifa kumjibu CAG kienyeji enyeji tu.