mimi nilikua napenda sana kuisikili hii clouds fm na TV yao ili nimekuja KUGUNDUA hawa jamaa niwatu waajabu sana na wamekua wakiyapambisha mabifu bila hata sababu mf; LADY JAYDEE anabifu na CLOUDSFM na nyimbo zake hazipigwi lakin sasa utata sasa unakuja PROFESA JAY KISA KASHIRIKISHWA kwenye JOTO HASIRA hawapig tena nyimbo zake na watu kama kina RAMA DEE nyimbo zake hazipigw sababu kawashirikisha mapacha ambao waliakua VINEGA na nina uhakika hata hawa kina WAKAZ ,JUMA NATURE na GRACE MATATA,DJ CHOKA nyimbo zao zinaweza zisipewe AIR-TIME kisa walimuunga mkono LADY JAYDEE kwa upande wa media zingine kama EAST AFRICA RADIO hawana hayo mambo mf; JUMA NATURE alikwenda studio na ndala katika FRIDAY NIGHT LIVE kipind kinachorushwa ijumaa na wakamtimua NATURE alikasilika sana akaamua kuwatungia mpaka nyimbo ambayoa kafanya na WANAUME harisi moja mistali inasema " mapind wengine et wanashangaa ndala" lakini nyimbo zake zinapigwa na PIA MWANA FA bado wanapiga nyimbo zake na kumuonyesha ktk vipind kama e-news