CLOUDSFM wana UBAGUZ SANA

CLOUDSFM wana UBAGUZ SANA

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
mimi nilikua napenda sana kuisikili hii clouds fm na TV yao ili nimekuja KUGUNDUA hawa jamaa niwatu waajabu sana na wamekua wakiyapambisha mabifu bila hata sababu mf; LADY JAYDEE anabifu na CLOUDSFM na nyimbo zake hazipigwi lakin sasa utata sasa unakuja PROFESA JAY KISA KASHIRIKISHWA kwenye JOTO HASIRA hawapig tena nyimbo zake na watu kama kina RAMA DEE nyimbo zake hazipigw sababu kawashirikisha mapacha ambao waliakua VINEGA na nina uhakika hata hawa kina WAKAZ ,JUMA NATURE na GRACE MATATA,DJ CHOKA nyimbo zao zinaweza zisipewe AIR-TIME kisa walimuunga mkono LADY JAYDEE kwa upande wa media zingine kama EAST AFRICA RADIO hawana hayo mambo mf; JUMA NATURE alikwenda studio na ndala katika FRIDAY NIGHT LIVE kipind kinachorushwa ijumaa na wakamtimua NATURE alikasilika sana akaamua kuwatungia mpaka nyimbo ambayoa kafanya na WANAUME harisi moja mistali inasema " mapind wengine et wanashangaa ndala" lakini nyimbo zake zinapigwa na PIA MWANA FA bado wanapiga nyimbo zake na kumuonyesha ktk vipind kama e-news
 
Hii mada ya Clouds sasa nahisi nimechoka kuisoma, nitakuwa napita nduki tu!
 
clouds fm the best radio station ever jamani mwe hamuipendi huku mwackiliza
 
Sasa uende ofisi za watu na ndala.......ni utaratibu gani huo......fukuzia mbali......
 
Mbona wazungu wanaenda na ndala na bado wanakaribishwa na glas ya juice??
 
prof j kitambo waliachana nae siyo tu kwamba baada ya kushirikishwa na jide mawingu hawapendi wasanii wanaojitambua na kusimamia kwenye ukweli.
 
Kama kweli mnaichukia hii radio mbona wakati nyimbo zao hazipigwi mnakasirika halafu kama kweli mnaichukia ni kwanini mnaisikiliza mpaka mnagundua kuna nyimbo hazipigwi.

au ndo sitaki nataka.
 
wana tabia za kishoga tu eti mtu hapigiwi wimbo wake kwa radio kisa kashirikiana na adui yao? utoto tu na kuwekeana vinyongo visivyokuwa na maendeleo
 
Mimi naona vichekesho vinazidi.!!

Hivi lengo hasa la mwanamziki wa Tanzania hasa bongofleva ni lipi?

1.kurushwa nyimbo zenu cluds muda mwingi.?
2.soko la mziki liwe huru kila mtu afanye mambo yake bila kuingiliwa na yeyote.?

maana inaonekana mnailamu clauds kwa kutopiga nyimbo zenu, wakati huohuo mnawalaum kwa kuwanyonya.!!

mtuambie moja shida yenu kupigwa nyimbo au kupinga unyonyaji.?
 
Great Cbn kuna Radio si pungufu ya 10 ukiacha hiyo ya mawingu, so sioni kama watakuwa wanamkomoa Prof & Jide bali watakuwa wanajikomoa tu maana kwa namna fulani watakuwa wanapunguza 'fans' wao. Ila nafikiri haya mambo wangeyamaliza kiutu uzima tu maana wametoka mbali, na haina maana kwamba mmoja wapo kumfuata mwenzake na kutaka suluhu itakuwa ni dalili ya kushindwa!! Bali itakuwa imemuongezea sifa mmoja wapo hasa kwa upande wa Media husika.
 
You have copied blindly
mimi nilikua napenda sana kuisikili hii clouds fm na TV yao ili nimekuja KUGUNDUA hawa jamaa niwatu waajabu sana na wamekua wakiyapambisha mabifu bila hata sababu mf; LADY JAYDEE anabifu na CLOUDSFM na nyimbo zake hazipigwi lakin sasa utata sasa unakuja PROFESA JAY KISA KASHIRIKISHWA kwenye JOTO HASIRA hawapig tena nyimbo zake na watu kama kina RAMA DEE nyimbo zake hazipigw sababu kawashirikisha mapacha ambao waliakua VINEGA na nina uhakika hata hawa kina WAKAZ ,JUMA NATURE na GRACE MATATA,DJ CHOKA nyimbo zao zinaweza zisipewe AIR-TIME kisa walimuunga mkono LADY JAYDEE kwa upande wa media zingine kama EAST AFRICA RADIO hawana hayo mambo mf; JUMA NATURE alikwenda studio na ndala katika FRIDAY NIGHT LIVE kipind kinachorushwa ijumaa na wakamtimua NATURE alikasilika sana akaamua kuwatungia mpaka nyimbo ambayoa kafanya na WANAUME harisi moja mistali inasema " mapind wengine et wanashangaa ndala" lakini nyimbo zake zinapigwa na PIA MWANA FA bado wanapiga nyimbo zake na kumuonyesha ktk vipind kama e-news
 
mimi nilikua napenda sana kuisikili hii clouds fm na TV yao ili nimekuja KUGUNDUA hawa jamaa niwatu waajabu sana na wamekua wakiyapambisha mabifu bila hata sababu mf; LADY JAYDEE anabifu na CLOUDSFM na nyimbo zake hazipigwi lakin sasa utata sasa unakuja PROFESA JAY KISA KASHIRIKISHWA kwenye JOTO HASIRA hawapig tena nyimbo zake na watu kama kina RAMA DEE nyimbo zake hazipigw sababu kawashirikisha mapacha ambao waliakua VINEGA na nina uhakika hata hawa kina WAKAZ ,JUMA NATURE na GRACE MATATA,DJ CHOKA nyimbo zao zinaweza zisipewe AIR-TIME kisa walimuunga mkono LADY JAYDEE kwa upande wa media zingine kama EAST AFRICA RADIO hawana hayo mambo mf; JUMA NATURE alikwenda studio na ndala katika FRIDAY NIGHT LIVE kipind kinachorushwa ijumaa na wakamtimua NATURE alikasilika sana akaamua kuwatungia mpaka nyimbo ambayoa kafanya na WANAUME harisi moja mistali inasema " mapind wengine et wanashangaa ndala" lakini nyimbo zake zinapigwa na PIA MWANA FA bado wanapiga nyimbo zake na kumuonyesha ktk vipind kama e-news

EAST AFRICA FM inasimamiwa kama Taasisi na CLOUDS FM and TV ni Kampuni ya mfukoni. Tofauti lazima iwepo.
 
CLAUZ ni redio ya kishoga so lazima iendeshwe kishogashoga.
 
Mtakonda sana,eti alifukuzwa na ndala mbona alikaa mpaka mwisho huko east africa ila akaambiwa asirudie tena,kifupi we uliyeleta mada unaipenda sana hii radio ndo mana unaisikiliza na kujua mengi yao!
 
Back
Top Bottom