Club 5 Bora ukanda wa CECAFA; Yanga haipo

Club 5 Bora ukanda wa CECAFA; Yanga haipo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20220812-074512_Chrome.jpg

Utopolo sio moja ya vilabu vitano bora ukanda wetu wa CECAFA.
 
Yani hizi ranking zinavyoshadadiwa na makolo

Ulishawahi ona wapi nchi kama Belgium wakishadadia ranking za FIFA na wenyewe waanze kujiona ni wa maana zaidi kuzidi FRANCE au PORTUGAL

Huu ujinga utaukuta Tanzania tu kwa "wana thiiimba" (in Ahmed Ally Voice)

NB: Hamna kombe la rankings
 
Sisi hakuna mengi tunaongea tusubirie jumamosi....tunapiga kwenye mshono tena muache kuongea hovyo nyie makolo
 
Kwa soka uwanjani ni hizo tu za juu ndio zonaeeza suumbuwana na yanga uwanjani,

Nazungumzia hata wakitaka leo hii.
 
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Pamoja na ubabe wa Al ahly ktk soka la Afrika bado zamarerk naye atakuwa bingwa mwaka huu. Ko siyo kitu cha ajabu. Huo ubingwa hata mtibwa , costal , Tukuyu n.k. walishachukua hivyo siyo jambo jipya.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Angalia kati ya Hearts of Oaks na Asante Kotoko yupi yupo highly ranked mwaka huu.
Nani anacheza suer league (anatarajiwa) kati yao.
Leta mrejesho ukipata jibu.
Mnajua Yanga ndiyo timu inayopendwa zaidi Africa mashariki na ya kati. Mnajua hilo, na hampendi.
Halafu ni waoga, mnaiogopa Yanga na wachezaji na viongozi wenu wanaiogopa Yanga.
We can see that in your ugly faces.
 
Yani hizi ranking zinavyoshadadiwa na makolo

Ulishawahi ona wapi nchi kama Belgium wakishadadia ranking za FIFA na wenyewe waanze kujiona ni wa maana zaidi kuzidi FRANCE au PORTUGAL

Huu ujinga utaukuta Tanzania tu kwa "wana thiiimba" (in Ahmed Ally Voice)

NB: Hamna kombe la rankings
Kwa akili ndogo za utopolo ni kweli hazina faida. Lakini Azam , Biashara , Namungo na utopolo wenyewe walishafaidika na hizo ranking za simba japo uto alipigwa ndani nje na rivers utd .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Simba isingeweza kuwa bingwa wa maisha
 
Back
Top Bottom