OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Utopolo sio moja ya vilabu vitano bora ukanda wetu wa CECAFA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.View attachment 2321505
Utopolo sio moja ya vilabu vitano bora ukanda wetu wa CECAFA.
Mwaka Jana so walishiriki au umesahau sema rekodi zao ni mbovuYanga haiwezi kuwepo kwasababu kwa kipindi chaa miaka 6 hajashiriki mashindano hayo yanayosimamiwa na CAF so wako sahihi, haya maambo ni kupanda na kushuka.
Pamoja na ubabe wa Al ahly ktk soka la Afrika bado zamarerk naye atakuwa bingwa mwaka huu. Ko siyo kitu cha ajabu. Huo ubingwa hata mtibwa , costal , Tukuyu n.k. walishachukua hivyo siyo jambo jipya.Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.
Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.
Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Ile waliyofumuliwa nje ndani na Rivers United ilikuwa mwaka gani au ulikuwa hujazaliwa?Yanga haiwezi kuwepo kwasababu kwa kipindi chaa miaka 6 hajashiriki mashindano hayo yanayosimamiwa na CAF so wako sahihi, haya maambo ni kupanda na kushuka.
Kwa akili ndogo za utopolo ni kweli hazina faida. Lakini Azam , Biashara , Namungo na utopolo wenyewe walishafaidika na hizo ranking za simba japo uto alipigwa ndani nje na rivers utd .Yani hizi ranking zinavyoshadadiwa na makolo
Ulishawahi ona wapi nchi kama Belgium wakishadadia ranking za FIFA na wenyewe waanze kujiona ni wa maana zaidi kuzidi FRANCE au PORTUGAL
Huu ujinga utaukuta Tanzania tu kwa "wana thiiimba" (in Ahmed Ally Voice)
NB: Hamna kombe la rankings
Yaani Makolo mnavyo hangaika na Yanga, liazima mpate mimba mwaka huu!View attachment 2321505
Utopolo sio moja ya vilabu vitano bora ukanda wetu wa CECAFA.
Simba isingeweza kuwa bingwa wa maishaHalafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.
Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.
Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
KwaniniSimba isingeweza kuwa bingwa wa maisha