Club 5 Bora ukanda wa CECAFA; Yanga haipo

Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Unateseka mnooo, poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unateseka mnooo, poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho siyo mbali nitakuja hapa kukumbusha nikupe na offer ya dompo upunguze machungu ya kufungwq mfulululizo.
 
Kesho siyo mbali nitakuja hapa kukumbusha nikupe na offer ya dompo upunguze machungu ya kufungwq mfulululizo.
Labda mie ndo nikupe offer wee ya Jack Daniels, baada ya kipigo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Mwenye akili Yanga ni Kikwete na Sunday Manara!! Wengine ni hamnazo. (Kuwa bingwa ligi za ndani ndo kukufanye uonekane bora?) Subiri ranks za TFF ndo tukuone na ubingwa wako wa ligi.
 
We jamaa comments zako zinaonyesha ni Jinsi gani ulivyo mweupe..Unaonekana ni mtoto au km ni mtu mzima basi ni wale Aina ya watu wa kuitwa 'kubwa jinga'

Sijui umesoma ulichoandika!!??
We umesoma nilichoandika?
 
Yamekua hayooo nyie wakushangilia mpk wageni na kuwapokea utashangaa kushangilia ranks kweli?
 
KESHO LAZIMA WANAUME TUMALIZE PAKITI YA SALAMA CONDOM.

Mayele [emoji460]️[emoji460]️
Ki Aziz [emoji460]️

Mpaka mseme huo ubora mnaolilia mnaufanyia nini.
Sisi hatuna haja ya Condom, tutawapasua nyama-nyama.
 
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
hiyo rank inatokana na nini mbona una akili za pimbi
 
Timu kupendwa? Leta uthibitisho.
Hapo ni ubora sio mapenzi,,,, maipende kupendwa ☺️
 
Timu kupendwa? Leta uthibitisho.
Hapo ni ubora sio mapenzi,,,, maipende kupendwa [emoji3526]
Yes timu ni ubora yanga kutoa ligi kuu bara ambayo anaongoza hakuna kitu kingine cha kuifikia simba kwa chochote kile na hii itakaa miaka mingi sana angalia hata mambo ya kiutawala tu bado simba ipo vizuri basi tu timu yangu haipewi sifa inazostaili.

Leo tunaingiza timu nne watu yamekaa tu hata kutoa pongezi kwa simba hayataki.
Jambo lao kubwa utasikia mabingwa wa kihistoria na hapo wamekaa miaka hawajatwaa kombe upuuzi tu na waingiza mambo ya vitisho na siasa ndani yake.

Laiti ningkuwa kiongozi hapo simba walai kwa sasa focus ingekuw kufika nusu fainali au kucheza fainali kabisa. Nimesikia kuna super ligi hapa kama ni kwel yatafanyika basi ni kuweka nguvu sana tufike hata robo au nusu inapesa sana haya mashindano.

Ishu ya mashabiki wa simba na yanga ni mjadala mrefu japo wao wanasema wanamashabiki wengi lakin sio kwel mfano juzi si kulikuwa na shindano mtandaoni nani zaidi si hao hao yanga waligomea njiani.

Leo wanamaindi raisi wa TFF lakin yamesahu kipindi cha tenga na yule mhaya yanga ilikuwaje na walitufikisha wapi kimataifa ujinga tu ninachowaambia ni kwamba kipindi cha huyu msomali mpira wa bongo umeboreka sana na fedha ipo kweli leo wakina shishimbi wapo ihefu huko sio jambo dogo.

Viongozi wangu simba endeleeni na mnachofanya binafsi naridhika lakini pia kama siku tukaanza kucheza mechi kwenye kiwanja chetu hapo itakuwa tuko kwenye kilele.

Ushauri wangu kila mara ni huu wachezaji wetu ambao walifika kwenye kiwango kikubwa na wanania ya ukocha wasaidieni kwenda nje ya nchi wakapate mafunzo stahiki mfano juma awadhi alipita simba au pawasa, shindika na mgosi kwa nn wasiende nje wakajiendeleze waje kuisaidia taifa na simba yetu sisi leo wa kufuata makocha Rwanda na Burundi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…