cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujui Kama jengo lao lilitumika kwa vikao vya Siri kipindi Cha ukombozi mkuu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujui Kama jengo lao lilitumika kwa vikao vya Siri kipindi Cha ukombozi mkuu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Unateseka mnooo, poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.
Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.
Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Kesho siyo mbali nitakuja hapa kukumbusha nikupe na offer ya dompo upunguze machungu ya kufungwq mfulululizo.Unateseka mnooo, poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda mie ndo nikupe offer wee ya Jack Daniels, baada ya kipigo.Kesho siyo mbali nitakuja hapa kukumbusha nikupe na offer ya dompo upunguze machungu ya kufungwq mfulululizo.
Mwenye akili Yanga ni Kikwete na Sunday Manara!! Wengine ni hamnazo. (Kuwa bingwa ligi za ndani ndo kukufanye uonekane bora?) Subiri ranks za TFF ndo tukuone na ubingwa wako wa ligi.Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.
Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.
Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Uwe unaelewa rank sio za TFF, mwaka jana mmefannyaje kimataifa???Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.
Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.
We umesoma nilichoandika?We jamaa comments zako zinaonyesha ni Jinsi gani ulivyo mweupe..Unaonekana ni mtoto au km ni mtu mzima basi ni wale Aina ya watu wa kuitwa 'kubwa jinga'
Sijui umesoma ulichoandika!!??
Ndio maana huwa tunawapakata.Acha makasiriko we kinye fc...huko kupendwa labda congo tu sababu mnaenda kuchukua wakata viuno kwa mkopo
Yamekua hayooo nyie wakushangilia mpk wageni na kuwapokea utashangaa kushangilia ranks kweli?Yani hizi ranking zinavyoshadadiwa na makolo
Ulishawahi ona wapi nchi kama Belgium wakishadadia ranking za FIFA na wenyewe waanze kujiona ni wa maana zaidi kuzidi FRANCE au PORTUGAL
Huu ujinga utaukuta Tanzania tu kwa "wana thiiimba" (in Ahmed Ally Voice)
NB: Hamna kombe la rankings
Naona Lipumba umeamua kuitangaza CUF yako kwa Nguvu zote.Simba wana relax kwa takwimu. Yanga wamepania kuwafunga Simba kesho.
Simba msipojirekebisha kwa kujiona bora sana mtapigwa na Yanga kila Mechi.
Nyie jitazameni tu kwenye rank za CUF.
Sisi hatuna haja ya Condom, tutawapasua nyama-nyama.KESHO LAZIMA WANAUME TUMALIZE PAKITI YA SALAMA CONDOM.
Mayele [emoji460]️[emoji460]️
Ki Aziz [emoji460]️
Mpaka mseme huo ubora mnaolilia mnaufanyia nini.
hiyo rank inatokana na nini mbona una akili za pimbiHalafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.
Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.
Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Pamoja na ubabe wa Al ahly ktk soka la Afrika bado zamarerk naye atakuwa bingwa mwaka huu. Ko siyo kitu cha ajabu. Huo ubingwa hata mtibwa , costal , Tukuyu n.k. walishachukua hivyo siyo jambo jipya.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Na timu yenu hiyo mbovu?KESHO LAZIMA WANAUME TUMALIZE PAKITI YA SALAMA CONDOM.
Mayele [emoji460]️[emoji460]️
Ki Aziz [emoji460]️
Mpaka mseme huo ubora mnaolilia mnaufanyia nini.
Sawa. Walishiriki lakini walifika hatua gani huko CAF au kwa kifupi walimfunga nani?Mwaka Jana so walishiriki au umesahau sema rekodi zao ni mbovu
Timu kupendwa? Leta uthibitisho.Angalia kati ya Hearts of Oaks na Asante Kotoko yupi yupo highly ranked mwaka huu.
Nani anacheza suer league (anatarajiwa) kati yao.
Leta mrejesho ukipata jibu.
Mnajua Yanga ndiyo timu inayopendwa zaidi Africa mashariki na ya kati. Mnajua hilo, na hampendi.
Halafu ni waoga, mnaiogopa Yanga na wachezaji na viongozi wenu wanaiogopa Yanga.
We can see that in your ugly faces.
Yes timu ni ubora yanga kutoa ligi kuu bara ambayo anaongoza hakuna kitu kingine cha kuifikia simba kwa chochote kile na hii itakaa miaka mingi sana angalia hata mambo ya kiutawala tu bado simba ipo vizuri basi tu timu yangu haipewi sifa inazostaili.Timu kupendwa? Leta uthibitisho.
Hapo ni ubora sio mapenzi,,,, maipende kupendwa [emoji3526]
Hilo swali waulize utopolo wanaodai wamekosa pointi Kwa sababu hawajashiriki muda mrefuSawa. Walishiriki lakini walifika hatua gani huko CAF au kwa kifupi walimfunga nani?