Club 5 Bora ukanda wa CECAFA; Yanga haipo

Angalia kati ya Hearts of Oaks na Asante Kotoko yupi yupo highly ranked mwaka huu.
Nani anacheza suer league (anatarajiwa) kati yao.
Leta mrejesho ukipata jibu.
Mnajua Yanga ndiyo timu inayopendwa zaidi Africa mashariki na ya kati. Mnajua hilo, na hampendi.
Halafu ni waoga, mnaiogopa Yanga na wachezaji na viongozi wenu wanaiogopa Yanga.
We can see that in your ugly faces.
We jamaa comments zako zinaonyesha ni Jinsi gani ulivyo mweupe..Unaonekana ni mtoto au km ni mtu mzima basi ni wale Aina ya watu wa kuitwa 'kubwa jinga'

Sijui umesoma ulichoandika!!??
 
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Muende mbali zaidi katika mashindano ya Afrika.Siyo kufurahia tu ukimfunga Simba.
 
Punguza makasiriko nenda Chooni kwanza
Yani hizi ranking zinavyoshadadiwa na makolo

Ulishawahi ona wapi nchi kama Belgium wakishadadia ranking za FIFA na wenyewe waanze kujiona ni wa maana zaidi kuzidi FRANCE au PORTUGAL

Huu ujinga utaukuta Tanzania tu kwa "wana thiiimba" (in Ahmed Ally Voice)

NB: Hamna kombe la rankings
 
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Umeelewa lkn , isije hapo una degree ya ualimu ,au no dokta pale muhimbili
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Angalia kati ya Hearts of Oaks na Asante Kotoko yupi yupo highly ranked mwaka huu.
Nani anacheza suer league (anatarajiwa) kati yao.
Leta mrejesho ukipata jibu.
Mnajua Yanga ndiyo timu inayopendwa zaidi Africa mashariki na ya kati. Mnajua hilo, na hampendi.
Halafu ni waoga, mnaiogopa Yanga na wachezaji na viongozi wenu wanaiogopa Yanga.
We can see that in your ugly faces.
Acha makasiriko we kinye fc...huko kupendwa labda congo tu sababu mnaenda kuchukua wakata viuno kwa mkopo
 
Simba wana relax kwa takwimu. Yanga wamepania kuwafunga Simba kesho.
Simba msipojirekebisha kwa kujiona bora sana mtapigwa na Yanga kila Mechi.
Nyie jitazameni tu kwenye rank za CUF.
 
Acha makasiriko we kinye fc...huko kupendwa labda congo tu sababu mnaenda kuchukua wakata viuno kwa mkopo
Mwambie aulize CAF ni timu ipi inayotoka Ukanda wa Afrika Mashariki ikicheza michezo ya kimataifa inayoleta uchangamfu kuanzia mitaani,mitandaoni hadi viwanjani?Akipata jibu,akae kwa utulivu kujifunza siri za hayo yote.
 
Hahaha!majamaa yanadeka kama last born..imagn simba kupotiwa kwenye WS ya CAF basi imekuwa nongwa....yaan kiujumla tumewazid kila kitu kuanzia mashabik na followerz.,sasa nashangaa anajitapa kupendwa East Africa....kwa kip alichofanya kimataifa?kwel manara alikuwa sahih..kwamba weny akili pale ni wawili tu
 
Yanajilizaliza kama ile mitoto ya kuitwa "Juniors"!Wanalilia kukaa sebuleni na wageni wakati hawajaoga na adabu hawana.Mzazi gani mwehu ataruhusu mitoto sampuli hiyo ikamtie aibu kwa wageni?😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: BRN
KESHO LAZIMA WANAUME TUMALIZE PAKITI YA SALAMA CONDOM.

Mayele [emoji460]️[emoji460]️
Ki Aziz [emoji460]️

Mpaka mseme huo ubora mnaolilia mnaufanyia nini.
 
Utopolo walifungwa na Vipers ambao nao hawapo, hii maana yake ni kwamba utopolo hata huko chini walipojificha bado wako chini ya Vipers wasioonekana.
 
Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
ubingwa sio issue sana,kila nchi inabingwa wake hata Elitria,South Sudan inamabingwa wake.
pole sana mtani mmekua mabingwa na bado mnamalalamiko kila uchwao.
 
Back
Top Bottom