Club Mate
Member
- Aug 1, 2025
- 29
- 125
Day 1
Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi kwa pamoja atapata points 10 kwenye leaderboard. Tumpate bingwa wa jiografia wa hapa JF.
Leaderboard:
1. Al Watani - 4pts
Taja nchi sahihi kwenye categories zinazofuata. Panga jibu kwa namna hii:
1. Jibu
2. Jibu
3. Jibu
4. Jibu
5. Jibu