2Picha ipi unaona ni Netherlands mkuu?
AsantePole, si jibu sahihi
Kwa msaada wa CHATGPT1. Ethiopia
2.Zimbambwe
3. Bascilce de Sagrada Barcelona Spain
4. Copacabana beach
5 Myanmar Naypawi
Hizo mbili za Copacabana na Hiyo satelite image hizo zingine nazijua beforeKwa msaada wa CHATGPT
Nachomekea TU in JPM VOICE 😊
Walio somaga zamani geography 2 walikua wakielezea kilimo cha mahindi marekani lazima u sketch ramani, fishing Norway, kilimo cha pamba, mpira lazima ku sketching e.t.cNaweza kuiname ramani yote ya Africa na South America bila kutumia reference yoyote, Europe tu ndiyo na struggle kidogo Asia more than 80%
Leta hapa ya Africa kwanzaBasi nitaleta ya Europe kesho
Hizi maps ilikuwa lazima uijue utake usitake .Walio somaga zamani geography 2 walikua wakielezea kilimo cha mahindi marekani lazima u sketch ramani, fishing Norway, kilimo cha pamba, mpira lazima ku sketching e.t.c
NB. Nimekukubali sana.. kama enzi zile ilikua ni lazima kujua wakuu wote wa wilaya na mikoa
Ramani ya TANZANIA lazima iwe KICHWANI , ramani ya East afrika na afrika kwa ujumla woteeeeeee
Zama zimebadilika sanaaHizi maps ilikuwa lazima uijue utake usitake .