Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

Hilo swali nitakujibu kama tukishafikia muafaka wa post namba 61 uliponikatalia kuwa Wydad na Al Ahly hawakufuzu sababu ya kuwa mabingwa bali ni kwasababu rank zao. Je bado msimamo wako bado upo hivyo hivyo?
Ngoja nikuulize swali lingine lepesi kama umekataa kunijibu lile la mwanzo

Kati ya Wydad na Al Ahly nani mwenye point nyingi?
 
Kwahiyo kwa mujibu wa uelewa wako Wydad na Al Ahly wamefuzu kwasababu ya rank si ndivyo?
Usiniambie kwa uelewa wangu maana huko kwenye perspective tushatoka.

Wewe toa hoja kulingana na hicho kilichoandikwa kwenye screenshot.

Na unaruhusiwa kupinga source kama sio trusted nimefanya tu forgery ila kufanya hivyo itabidi tukague trusted sources tuone kama hicho kitu kina miss.
 
Swali la kujibu sio au ndivyo unaleta maelezo. Nimekuuliza hivi kwa mujibu wa uelewa wako ni kwamba Wydad na Al Ahly wamefuzu kucheza FIFA club world cup sababu ya rank zao?
 
Wale jamaa zetu wanatamani nao wawekwe hapo kwa wakuu
 
Swali la kujibu sio au ndivyo unaleta maelezo. Nimekuuliza hivi kwa mujibu wa uelewa wako ni kwamba Wydad na Al Ahly wamefuzu kucheza FIFA club world cup sababu ya rank zao?
Kwa mujibu wa uelewa wangu wewe umeshindwa kunikibalia na ndio maana nakuja na hiki kipande cha picha

Uniambie kama nilichokiongea kinapingana au kina sapoti na maamuzi ya kikao cha baraza

 
Kwa mujibu wa uelewa wangu wewe umeshindwa kunikibalia na ndio maana nakuja na hiki kipande cha picha

Uniambie kama nilichokiongea kinapingana au kina sapoti na maamuzi ya kikao cha baraza

View attachment 2852651
Wewe umejuaje kama kikao kiliamua kuwa Wydad na Al Ahly wapitishwe moja kwa moja kwa ranking? Kwanini hukuwaza kuwa kikao kiliamua kuwa kuwe na idadi ya timu tatu zitokanazo na kuchukua ubingwa kisha nafasi itakayobakia iingie kwa ranking. Kisha wakapanga namna ya kufanya ranking ili kupata nafasi ya timu ambazo sio bingwa.

Natoa uthibitisho kuwa kikao kiliamua timu tatu zitaingia moja kwa moja kama mabingwa ambapo Wydad na Al Ahly wameshafuzu.

Kisha wewe njoo na uthibitisho unaonesha timu zilizofuzu (Wydad na Al Ahly)zimefuzu kwa kigezo tofauti na cha kuwa mabingwa wa CAF champions league.
 
Huyo ukitaka kummaliza kabisa muulize inakuwaje FIFA wanatumia kigezo cha Champions League pekee na wanaacha kigezo cha mashindano makubwa na yenye hadhi kama Shirikisho?

Pia muulize kwa kuwa amekiri mwenyewe kuwa FIFA wanatumia vigezo vya Champions League pekee, Yanga wana point ngapi kwa vigezo hivyo?

Akikujibu nitag mkuu.

changaule na fans wengine wa Deportivo de Utopolo njooni mjibu
 
Mna hangaika na mashindano ambayo wote mtayatazama kwenye TV
 
Kwanza ondoa controversial kwenye maneno yako yanayotaja Wydad na Al Ahly kujadikiwa kwenye kikao.

Hilo unabidi uliweke bayana kwanza kabla huko mbeleni hatujaanza kuleteana accusations.

Halafu ukija kwenye swali lako kuwa mimi nimejuaje hapo unakuwa unanipa mashaka kama umeelewa ile screenshot ambayo imetaja sifa ya kuteua Club shiriki kwenye next tournament.

Hiki ulichokiita uthibitisho wa maamuzi ya kikao mbona hapo pichani hakipo?

Huoni screenshot yangu inaonesha Quote ya azimio la kikao cha baraza na yako inaonesha list ya Club?

Hivi kwa akili tu ya kawaida ukiambiwa ulete maamuzi yaliyotolewa kwenye kikao utaleta hiyo list ya Wydad na Al Ahly?
 
Huyo kamaindi kuona Gongowazi pamoja na kupambana na washuka daraja lakini kwenye orodha hawapo
 
Yanga hayupo wapi? Kwani Yanga katolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa?
Unatuchanganya wewe, umesema wote wanaoshiriki cl mwaka huh wapo kwenye kinyang'anyilo Cha kuwania nafasi club world cup jamaa akakuuuliza mbona horoya ipo lakini haishiriki cl?
 
Sasa horoya mbona yupo kwenye list wakati hayupo cl? Pili ikitokea Al ahly, mamelod au raja mmoja akawa bingwa msimu huu hiyo nafasi iliyobaki atajaza nani?
 
Acha ufara we Kwa Al ahly ulimiliki mpira gani
 
Sasa horoya mbona yupo kwenye list wakati hayupo cl? Pili ikitokea Al ahly, mamelod au raja mmoja akawa bingwa msimu huu hiyo nafasi iliyobaki atajaza nani?
Soma maelezo pale Holoya, Kaizer na Raja zimekua eliminated
 
Sasa horoya mbona yupo kwenye list wakati hayupo cl? Pili ikitokea Al ahly, mamelod au raja mmoja akawa bingwa msimu huu hiyo nafasi iliyobaki atajaza nani?
Ni kitu ambacho haiwezekani Raja kuchukua ubingwa kwasababu hashiriki mashindano. Ikitokea Wydad au Al Ahly amechukua kombe, kwenye rank zitachukuliwa timu mbili zilizokuwa na point za juu. Kama ilivyokuwa kwa Al Ahly kuchukua kombe mara mbili ndio maana imefanya timu moja ichukuliwe kwa kuangalia rank.
Ikitokea Mamelod kachukua kombe, nafosi itakuwa imebakia moja kwa upande wa rank hivyo atakayekuwa na point nyingi ukiachana na Mamelod, Wydad na Al Ahly ndio atakayefuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…