changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kwahiyo kwa mujibu wa uelewa wako Wydad na Al Ahly wamefuzu kwasababu ya rank si ndivyo?Wamefuzu kwasababu ya hiki kilichopigiwa kura kwenye kikao kilichofanyika Rwanda
View attachment 2852579
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwa mujibu wa uelewa wako Wydad na Al Ahly wamefuzu kwasababu ya rank si ndivyo?Wamefuzu kwasababu ya hiki kilichopigiwa kura kwenye kikao kilichofanyika Rwanda
View attachment 2852579
Ngoja nikuulize swali lingine lepesi kama umekataa kunijibu lile la mwanzoHilo swali nitakujibu kama tukishafikia muafaka wa post namba 61 uliponikatalia kuwa Wydad na Al Ahly hawakufuzu sababu ya kuwa mabingwa bali ni kwasababu rank zao. Je bado msimamo wako bado upo hivyo hivyo?
Utopolo vyuraUkielewa maana ya neno Kolo au dunduka hilo halitokupa taabu.
Usiniambie kwa uelewa wangu maana huko kwenye perspective tushatoka.Kwahiyo kwa mujibu wa uelewa wako Wydad na Al Ahly wamefuzu kwasababu ya rank si ndivyo?
We si ulimfunga ihefuLabda Simba Wanyika lakini sio Simba hii ya kupigwa 5 na kushindwa kumfungs KMC.
Swali la kujibu sio au ndivyo unaleta maelezo. Nimekuuliza hivi kwa mujibu wa uelewa wako ni kwamba Wydad na Al Ahly wamefuzu kucheza FIFA club world cup sababu ya rank zao?Usiniambie kwa uelewa wangu maana huko kwenye perspective tushatoka.
Wewe toa hoja kulingana na hicho kilichoandikwa kwenye screenshot.
Na unaruhusiwa kupinga source kama sio trusted nimefanya tu forgery ila kufanya hivyo itabidi tukague trusted sources tuone kama hicho kitu kina miss.
Kwa mujibu wa uelewa wangu wewe umeshindwa kunikibalia na ndio maana nakuja na hiki kipande cha pichaSwali la kujibu sio au ndivyo unaleta maelezo. Nimekuuliza hivi kwa mujibu wa uelewa wako ni kwamba Wydad na Al Ahly wamefuzu kucheza FIFA club world cup sababu ya rank zao?
Wewe umejuaje kama kikao kiliamua kuwa Wydad na Al Ahly wapitishwe moja kwa moja kwa ranking? Kwanini hukuwaza kuwa kikao kiliamua kuwa kuwe na idadi ya timu tatu zitokanazo na kuchukua ubingwa kisha nafasi itakayobakia iingie kwa ranking. Kisha wakapanga namna ya kufanya ranking ili kupata nafasi ya timu ambazo sio bingwa.Kwa mujibu wa uelewa wangu wewe umeshindwa kunikibalia na ndio maana nakuja na hiki kipande cha picha
Uniambie kama nilichokiongea kinapingana au kina sapoti na maamuzi ya kikao cha baraza
View attachment 2852651
Huyo ukitaka kummaliza kabisa muulize inakuwaje FIFA wanatumia kigezo cha Champions League pekee na wanaacha kigezo cha mashindano makubwa na yenye hadhi kama Shirikisho?Usiniambie kwa uelewa wangu maana huko kwenye perspective tushatoka.
Wewe toa hoja kulingana na hicho kilichoandikwa kwenye screenshot.
Na unaruhusiwa kupinga source kama sio trusted nimefanya tu forgery ila kufanya hivyo itabidi tukague trusted sources tuone kama hicho kitu kina miss.
Chini imeelezea hata namna yanga anaweza kwenda huko mbonaNiwekee kutoka kwenye vyanzo vya CAF au FIFA sio unipostie hapa vitu vya kufoji
Mna hangaika na mashindano ambayo wote mtayatazama kwenye TVHuyo ukitaka kummaliza kabisa muulize inakuwaje FIFA wanatumia kigezo cha Champions League pekee na wanaacha kigezo cha mashindano makubwa na yenye hadhi kama Shirikisho?
Pia muulize kwa kuwa amekiri mwenyewe kuwa FIFA wanatumia vigezo vya Champions League pekee, Yanga wana point ngapi kwa vigezo hivyo?
Akikujibu nitag mkuu.
Kwanza ondoa controversial kwenye maneno yako yanayotaja Wydad na Al Ahly kujadikiwa kwenye kikao.Wewe umejuaje kama kikao kiliamua kuwa Wydad na Al Ahly wapitishwe moja kwa moja kwa ranking? Kwanini hukuwaza kuwa kikao kiliamua kuwa kuwe na idadi ya timu tatu zitokanazo na kuchukua ubingwa kisha nafasi itakayobakia iingie kwa ranking. Kisha wakapanga namna ya kufanya ranking ili kupata nafasi ya timu ambazo sio bingwa.
Natoa uthibitisho kuwa kikao kiliamua timu tatu zitaingia moja kwa moja kama mabingwa ambapo Wydad na Al Ahly wameshafuzu.
Kisha wewe njoo na uthibitisho unaonesha timu zilizofuzu (Wydad na Al Ahly)zimefuzu kwa kigezo tofauti na cha kuwa mabingwa wa CAF champions league.View attachment 2852685View attachment 2852686
Mi na wewe wote tunajua Yanga haendi kokoteChini imeelezea hata namna yanga anaweza kwenda huko mbona
Huyo kamaindi kuona Gongowazi pamoja na kupambana na washuka daraja lakini kwenye orodha hawapoHuyo ukitaka kummaliza kabisa muulize inakuwaje FIFA wanatumia kigezo cha Champions League pekee na wanaacha kigezo cha mashindano makubwa na yenye hadhi kama Shirikisho?
Pia muulize kwa kuwa amekiri mwenyewe kuwa FIFA wanatumia vigezo vya Champions League pekee, Yanga wana point ngapi kwa vigezo hivyo?
Akikujibu nitag mkuu.
changaule na fans wengine wa Deportivo de Utopolo njooni mjibu
Unatuchanganya wewe, umesema wote wanaoshiriki cl mwaka huh wapo kwenye kinyang'anyilo Cha kuwania nafasi club world cup jamaa akakuuuliza mbona horoya ipo lakini haishiriki cl?Yanga hayupo wapi? Kwani Yanga katolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa?
Sasa horoya mbona yupo kwenye list wakati hayupo cl? Pili ikitokea Al ahly, mamelod au raja mmoja akawa bingwa msimu huu hiyo nafasi iliyobaki atajaza nani?Kumbe inapofikia swala la Simba na Yanga akili zinakutoka kiasi kwamba hata jambo lililowazi haulielewi. Hiyo iliyowekwa hapo sio kwamba ndio lazima itakuwa hivyo ilivyowekwa bali kutakuwa kuna mabadiliko kulingana na timu zitakavyo perform kwenye CAFCL. Kama tukitumia kwa dhana iliyowekwa hapo inamaana inatafutwa timu moja tu ambaye ni bingwa mpya wa CAF champions league kwasababu tayari kuna nafasi tatu ambayo ni Wydad, Al Ahly na Mamelod ambaye ndiye anayesimama upande wa kuwa juu kwenye upande wa rank.
Je unaweza kuniorodheshea timu zinazowania ubingwa wa CAF champions league msimu huu au hujui kama moja ya tiketi ya kushiriki hiyo michuano ni kubeba ubingwa wa CAFCL?
Acha ufara we Kwa Al ahly ulimiliki mpira ganiKubali tu ukweli kwa sasa yanga amekuzidi ubora upate amani ya moyo na kuacha kutumia nguvu kubwa kulazimisha furaha, hv unapata wapi ujasiri wa kumkandia yanga aliekupiga 5 juzi juzi tu na hata ukirudiana nae leo hii atakupiga tena goli nyingi. Angalia kundi la yanga champions league ni mabingwa wa nchi zao tu na bado yanga ndie amemiliki mchezo kwenye game zote 4 alizocheza mpaka sasa hivi. Yanga amekaa sawa baada ya kuanza kudhaminiwa na GSM huu ni mwaka wa tatu tu huwezi kufananisha na simba ambae kaanza kudhaminiwa na Mo huu mwaka karibu wa 8. Simba mpo juu ya yanga kitakwimu kwa sababu mlianza safari mapema lakini consistency ya yanga baada ya miaka miwili tu atakua ashakupita.
Soma maelezo pale Holoya, Kaizer na Raja zimekua eliminatedSasa horoya mbona yupo kwenye list wakati hayupo cl? Pili ikitokea Al ahly, mamelod au raja mmoja akawa bingwa msimu huu hiyo nafasi iliyobaki atajaza nani?
Ni kitu ambacho haiwezekani Raja kuchukua ubingwa kwasababu hashiriki mashindano. Ikitokea Wydad au Al Ahly amechukua kombe, kwenye rank zitachukuliwa timu mbili zilizokuwa na point za juu. Kama ilivyokuwa kwa Al Ahly kuchukua kombe mara mbili ndio maana imefanya timu moja ichukuliwe kwa kuangalia rank.Sasa horoya mbona yupo kwenye list wakati hayupo cl? Pili ikitokea Al ahly, mamelod au raja mmoja akawa bingwa msimu huu hiyo nafasi iliyobaki atajaza nani?