Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

Sasa horoya mbona yupo kwenye list wakati hayupo cl? Pili ikitokea Al ahly, mamelod au raja mmoja akawa bingwa msimu huu hiyo nafasi iliyobaki atajaza nani?
Ulisoma post namba 6 ukaona nilijibu nini kuhusu Horoya?:
 
Kwahiyo FIFA walipoainisha" VIA CHAMPIONS PATHWAY:3

"VIA RANKING PATHWAY: 1
wewe umeelewa nini hapo? Maana kitu kipo wazi kuwa Wydad na Al Ahly wameingia kwenye hapo kigezo cha ubingwa unataka kuleta ubishi usiokuwa na maana. Toa ufafanuzi kwenye hiyo VIA CHAMPIONS PATHWAY
 
Kwani waliosema kigezo kikuu kitachotumiwa kupanga Club shiriki kuwa ni ranking, ni wakina nani?

Unajua kuipuuza ile screenshot ni kumaanisha kuwa mimi nimetunga, vinginevyo uniambie imemaanisha nini
 
Kwani waliosema kigezo kikuu kitachotumiwa kupanga Club shiriki kuwa ni ranking, ni wakina nani?

Unajua kuipuuza ile screenshot ni kumaanisha kuwa mimi nimetunga, vinginevyo uniambie imemaanisha nini
nipe kwanza hapo ufafanuzi kumemaanishwa nini?
 
Mi na wewe wote tunajua Yanga haendi kokote

Ni basi tu ushabiki wa timu ndio unafanya tuwe wabishi.
Hata mi na wewe tunajua hali ya Simba ni ngumu na hawezi kupata hizo point 30 sababu ni lazima afike fainali at least
 
Unaweza kuniambia kwanini Simba hapo ipo na kwanini Yanga haipo?
Perfomance ya Simba miaka minne amekusanya point 45 .

Kwani kwa nini Yanga alikjwepo 5 bora ya kuwania tuzo za klabu bora africa na simba hakuwepo?

Hizo point 45 simba amezikusanya past 5 yrs mkuu.

Imewekwa pamoja vilabu vingine vyote vyenye hizo points.

Lakin unapaswa kujua point ngapi simba anahitaji ampite esperance na belouzdad?

Je hizo point zinahitaji afike hatua gani?

Je nao hao hawataongeza ?

Kumbuka chini ya list pia wameiweka Yanga kuwa ina njia ya kufika Club WC.

Je njia ya Yanga na Simba ipi rahisi na ipi ngumu?
 
Hata mi na wewe tunajua hali ya Simba ni ngumu na hawezi kupata hizo point 30 sababu ni lazima afike fainali at least
Pamoja na yote yanayoendelea Simba, ikipata wachezaji wawili au watatu wenye quality ina timu ya kufika fainali
 
Yaan timu zilizoorodhwa pale kuanzia ya tatu hadi 12 ndo zitachuana kuzidiana points katika ligi ya mabingwa atakevuna points nyingi kuzid mwenzie ndo atakuwa ameshafuzu, kumbuka al ahyl na wydad wamefuzu moja kwa moja,
 
Kama ulivyoelezea mchakato wa Simba kutafuta point kwa misimu mitano, unaweza kuelezea hivyo hivyo na sababu iliyotumika kumuweka Yanga kwenye tuzo za Club bora?

Hizo za point ngapi zinahitajika ili kunfikia fulani hizo sio hoja.

Hoja ni kwanini Yanga hapo kwenye top 12 haipo?

Chini ya list ipi wameiweka Yanga? Round hii uniwekee na source
 
Chini wapi nawe, chura hajulikan yuko nafas yangap afu unasema chin,chini yawap
 
Yaan timu zilizoorodhwa pale kuanzia ya tatu hadi 12 ndo zitachuana kuzidiana points katika ligi ya mabingwa atakevuna points nyingi kuzid mwenzie ndo atakuwa ameshafuzu, kumbuka al ahyl na wydad wamefuzu moja kwa moja,
Yanga anakuambia kwenye kinyang'anyiro hicho naye yupo ila kumuona ni mpaka uwe na macho ya kiroho
 
Umemaliza kila kitu
Yanga malengo yao ni kufika makundi sasa tunawaongezea step moja mbele ili wakaribiane kwenye hiyo nafasi ya kuweza kufuzu

Lakini kumbe hata tukiwa bust kuwafikisha robo bado hawatopata nafasi.

Simba malengo yake ni nusu fainali au fainali, hawa wapo karibu na shimo na mihemo ya sungura wanaisikia hivyo wakiongeza concentration wanauwezo wa kutoboa.

Lakini sio Yanga, Yanga ambayo ilifanya sherehe ilipofika hatua ya makundi eti uitazamie kuchukua ubingwa.....hilo haliwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…