Kwanza ondoa controversial kwenye maneno yako yanayotaja Wydad na Al Ahly kujadikiwa kwenye kikao.
Hilo unabidi uliweke bayana kwanza kabla huko mbeleni hatujaanza kuleteana accusations.
Halafu ukija kwenye swali lako kuwa mimi nimejuaje hapo unakuwa unanipa mashaka kama umeelewa ile screenshot ambayo imetaja sifa ya kuteua Club shiriki kwenye next tournament.
Hiki ulichokiita uthibitisho wa maamuzi ya kikao mbona hapo pichani hakipo?
Huoni screenshot yangu inaonesha Quote ya azimio la kikao cha baraza na yako inaonesha list ya Club?
Hivi kwa akili tu ya kawaida ukiambiwa ulete maamuzi yaliyotolewa kwenye kikao utaleta hiyo list ya Wydad na Al Ahly?