Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

Kaka kubishana na huyo jamaa inahitaji uwe huna kazi
Akiungana na yule jamaa yake ndio kabisaaaa
 
Ni jambo jema
Kaka pole
Me nlishamjua huyoo😅
 
We chizi
Huwezi kuanza na malengo makubwa hata siku moja
Gari inapoanza kuondoka huanza na speedi ya 1
Inaongezeka kadri unavyoongeza moto

Hivyo yanga kufurahia kufika fainal ya kombe la shilikisho ni sawa kwakua yalikua malengo makubwa kadri ya walivyopanga

2 mkuu mpira unaujua?
Hili swali nmeshakuuliza zaidi ya mala moja hujawahi nipa majibu
Mpira ni mchezo unaotumia akili
Ufundi
Hua nnashangaa sana mtu mzima na ndevu zake kama wewe na mwenzio okw mnapoitabilia timu vby
Hua najiuliza tu mnawezaje
Mpira ni mchezo wa uwanjani
Ukizingua unakula bomba
Simba kamfunga widad 2 kaenda ku draw na kmc

Yanga kafika fainal shilikisho ila ihefu kamkalisha!
Hamjifunzi?
Ni kweli inaweza kua ngum yanga kufika fainal ya club bingwa ila INAWEZEKANA tena vizuri tu kwakua wale tunaoshindana nao ni watu na wapo kama sisi tu
Ilimradi tujuane madhaifu uwanjani
 
Unajua mi ni die hard fan wa Yanga sema wenzangu hampendi kusikia ukweli
Nenda wodon katafute kichanga ndio ukipe sound zako

We jamaa mpira huujui
2 una ushabiki wakindezi

Au wewe ni mzee wa jambia?😂
 
👇🏿
 

Attachments

  • 4D1956DA-F5A2-4F03-9CE9-B65854A9F9AA.jpeg
    84.9 KB · Views: 1
  • BFBEE93F-EA89-477E-A17D-49E175AD10DD.jpeg
    61.2 KB · Views: 1
Niwekee source ya hii picha yako

Hiyo picha nimeingia mashaka nayo
Mashaka kisa umeona Yanga imetajwa? Je kwenye picha ya mleta uzi hukuona sehemu walipoandika 2023/2024 CAF champions league winner TBA, asa hujui timu yoyote hata kama ina point 0 ila kama atachukua kombe la klabu bingwa atashiriki mashindano ya FIFA?
 
Kama huwezi kuanza na malengo makubwa basi haustahili kujiita mkubwa

Lakini leo ndio nimekuja kujua kumbe robo ni malengo makubwa. Sasa mlivyokuwa mnawacheka wanaofika robo kwa kuwaita Mwakarobo?

Nilikujibu kuwa mpira ni mchezo wa takwimu, ukiwa na wachezaji wenye ubora basi ni rahisi kufika mbali.

Ikitokea timu mbovu kuifunga timu bora hiyo tunaita football wonder
 
Yeah kwasababu kuna kila sababu za kuonesha kwanini Yanga haistahili kuwa hapo

Na ndio maana mpaka sasa hakuna mtu aliyeweza kuweka source ya hiyo picha.
 
Yaan timu zilizoorodhwa pale kuanzia ya tatu hadi 12 ndo zitachuana kuzidiana points katika ligi ya mabingwa atakevuna points nyingi kuzid mwenzie ndo atakuwa ameshafuzu, kumbuka al ahyl na wydad wamefuzu moja kwa moja,
Hata bingwa wa klabu bingwa msimu huu atafuzu moja kwa moja haijalishi ana point ngapi.
 
Ndio maana tumekuambia akili huna
Yaan mashabiki wa simba ni vichaa

Hua mnakulupuka bila kujua
Niwekeeni hiyo source kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika

Huu mjadala ulikuwa mfupi sana ila tumefika hapa kwa kushindwa kwenu kuweka source
 
Yeah kwasababu kuna kila sababu za kuonesha kwanini Yanga haistahili kuwa hapo

Na ndio maana mpaka sasa hakuna mtu aliyeweza kuweka source ya hiyo picha.
Unajua kama bingwa wa klabu bingwa msimu huu anafuzu moja kwa moja?
 

“”Ikitokea timu mbovu kuifunga timu bora hiyo tunaita football wonder””


“Nlikujibu kuwa mpira……..kufika mbali”

Haya angalia ulichoandika mwenyewe
Yaan juu unaandika chini unajipinga mwenyewe
 
Niwekeeni hiyo source kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika

Huu mjadala ulikuwa mfupi sana ila tumefika hapa kwa kushindwa kwenu kuweka source

Kwani wewe uliposoma hiyo source umesoma page ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…