Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Unajua mi ni die hard fan wa Yanga sema wenzangu hampendi kusikia ukweliWe jamaa hata ukijamba kimjbo kitakua kinaliaga yaaangaaa😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mi ni die hard fan wa Yanga sema wenzangu hampendi kusikia ukweliWe jamaa hata ukijamba kimjbo kitakua kinaliaga yaaangaaa😂😂
Kaka kubishana na huyo jamaa inahitaji uwe huna kaziKumbe inapofikia swala la Simba na Yanga akili zinakutoka kiasi kwamba hata jambo lililowazi haulielewi. Hiyo iliyowekwa hapo sio kwamba ndio lazima itakuwa hivyo ilivyowekwa bali kutakuwa kuna mabadiliko kulingana na timu zitakavyo perform kwenye CAFCL. Kama tukitumia kwa dhana iliyowekwa hapo inamaana inatafutwa timu moja tu ambaye ni bingwa mpya wa CAF champions league kwasababu tayari kuna nafasi tatu ambayo ni Wydad, Al Ahly na Mamelod ambaye ndiye anayesimama upande wa kuwa juu kwenye upande wa rank.
Je unaweza kuniorodheshea timu zinazowania ubingwa wa CAF champions league msimu huu au hujui kama moja ya tiketi ya kushiriki hiyo michuano ni kubeba ubingwa wa CAFCL?
Ni jambo jema
Kaka poleWe jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukua kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuoano?? Una akili timamu wewe???
Kumbe hamsomi mnachungulia vipost juujuu.Chini wapi nawe, chura hajulikan yuko nafas yangap afu unasema chin,chini yawap
We chiziYanga malengo yao ni kufika makundi sasa tunawaongezea step moja mbele ili wakaribiane kwenye hiyo nafasi ya kuweza kufuzu
Lakini kumbe hata tukiwa bust kuwafikisha robo bado hawatopata nafasi.
Simba malengo yake ni nusu fainali au fainali, hawa wapo karibu na shimo na mihemo ya sungura wanaisikia hivyo wakiongeza concentration wanauwezo wa kutoboa.
Lakini sio Yanga, Yanga ambayo ilifanya sherehe ilipofika hatua ya makundi eti uitazamie kuchukua ubingwa.....hilo haliwezekani
Nenda wodon katafute kichanga ndio ukipe sound zakoUnajua mi ni die hard fan wa Yanga sema wenzangu hampendi kusikia ukweli
Unapoteza muda wako bure huyo mpira hajui au pengine anafanya kusudi kujitoaga akili.
Niwekee source ya hii picha yakoKumbe hamsomi mnachungulia vipost juujuu.
Tafuta wengune mbishane aisee m8 naishia hapa.View attachment 2852998
Mashaka kisa umeona Yanga imetajwa? Je kwenye picha ya mleta uzi hukuona sehemu walipoandika 2023/2024 CAF champions league winner TBA, asa hujui timu yoyote hata kama ina point 0 ila kama atachukua kombe la klabu bingwa atashiriki mashindano ya FIFA?Niwekee source ya hii picha yako
Hiyo picha nimeingia mashaka nayo
Kama huwezi kuanza na malengo makubwa basi haustahili kujiita mkubwaWe chizi
Huwezi kuanza na malengo makubwa hata siku moja
Gari inapoanza kuondoka huanza na speedi ya 1
Inaongezeka kadri unavyoongeza moto
Hivyo yanga kufurahia kufika fainal ya kombe la shilikisho ni sawa kwakua yalikua malengo makubwa kadri ya walivyopanga
2 mkuu mpira unaujua?
Hili swali nmeshakuuliza zaidi ya mala moja hujawahi nipa majibu
Mpira ni mchezo unaotumia akili
Ufundi
Hua nnashangaa sana mtu mzima na ndevu zake kama wewe na mwenzio okw mnapoitabilia timu vby
Hua najiuliza tu mnawezaje
Mpira ni mchezo wa uwanjani
Ukizingua unakula bomba
Simba kamfunga widad 2 kaenda ku draw na kmc
Yanga kafika fainal shilikisho ila ihefu kamkalisha!
Hamjifunzi?
Ni kweli inaweza kua ngum yanga kufika fainal ya club bingwa ila INAWEZEKANA tena vizuri tu kwakua wale tunaoshindana nao ni watu na wapo kama sisi tu
Ilimradi tujuane madhaifu uwanjani
Niwekee source ya hii picha yako
Hiyo picha nimeingia mashaka nayo
BAki na mashaka yako.Niwekee source ya hii picha yako
Hiyo picha nimeingia mashaka nayo
Yeah kwasababu kuna kila sababu za kuonesha kwanini Yanga haistahili kuwa hapoMashaka kisa umeona Yanga imetajwa? Je kwenye picha ya mleta uzi hukuona sehemu walipoandika 2023/2024 CAF champions league winner TBA, asa hujui timu yoyote hata kama ina point 0 ila kama atachukua kombe la klabu bingwa atashiriki mashindano ya FIFA?
Hata bingwa wa klabu bingwa msimu huu atafuzu moja kwa moja haijalishi ana point ngapi.Yaan timu zilizoorodhwa pale kuanzia ya tatu hadi 12 ndo zitachuana kuzidiana points katika ligi ya mabingwa atakevuna points nyingi kuzid mwenzie ndo atakuwa ameshafuzu, kumbuka al ahyl na wydad wamefuzu moja kwa moja,
Niwekeeni hiyo source kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminikaNdio maana tumekuambia akili huna
Yaan mashabiki wa simba ni vichaa
Hua mnakulupuka bila kujua
Unajua kama bingwa wa klabu bingwa msimu huu anafuzu moja kwa moja?Yeah kwasababu kuna kila sababu za kuonesha kwanini Yanga haistahili kuwa hapo
Na ndio maana mpaka sasa hakuna mtu aliyeweza kuweka source ya hiyo picha.
Kama huwezi kuanza na malengo makubwa basi haustahili kujiita mkubwa
Lakini leo ndio nimekuja kujua kumbe robo ni malengo makubwa. Sasa mlivyokuwa mnawacheka wanaofika robo kwa kuwaita Mwakarobo?
Nilikujibu kuwa mpira ni mchezo wa takwimu, ukiwa na wachezaji wenye ubora basi ni rahisi kufika mbali.
Ikitokea timu mbovu kuifunga timu bora hiyo tunaita football wonder
Unajua kama bingwa wa klabu bingwa anafuzu moja kwa moja?
Niwekeeni hiyo source kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika
Huu mjadala ulikuwa mfupi sana ila tumefika hapa kwa kushindwa kwenu kuweka source