Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

Unajua kama bingwa wa klabu bingwa msimu huu anafuzu moja kwa moja?
Hilo swali wameulisa wenzako waliotangulia

Usiwaome kama wazembe hawajui mbinu za kujitetea.

Nataka uniletee source ya ile picha yako inayoonesha Yanga ipo.
 
Ila gap la point ni refu kweli.
 
Kwani wewe uliposoma hiyo source umesoma page ngapi?
Source gani? Kwani we hujaona TFF hapo imepost?

Au we ulitakaje?

Nipe na yako hata kama haijawekwa TFF ila itoke kwenye mashirika ya mpira yanayoaminika
 
Hilo swali wameulisa wenzako waliotangulia

Usiwaome kama wazembe hawajui mbinu za kujitetea.

Nataka uniletee source ya ile picha yako inayoonesha Yanga ipo.
Kama ungekuwa unajua kigezo cha kucheza hayo mashindano ni kuchukua kombe la klabu bingwa basi usingeangaika na hiyo picha. Ila kutaka kujua kuhusu hiyo picha maanake hujui lolote kuhusu haya mashindano na ndio maana umestuka ulipoiona Yanga roho ikakuruka. Hayo mashindano yeyote atakayebeba kombe atakuwa ameingia moja kwa moja hivyo kati ya timu 14 zinazocheza klabu bingwa hatua ya makundi, yeyote ana nafasi ya kufuzu kupitia kuwa bingwa wa klabu bingwa Afrika. Nimesema 14 kwasababu tayari Al Ahly na Wydad ni mabingwa watetezi hivyo tayari wameshafuzu
 
BAki na mashaka yako.

Nikielewa mimi inatosha.
Mkuu sio wote tunaweza kudonganywa kirahisi

Kwakukusaidia tu ni kuwa hakuja sehemu kutoka chanzo chochote cha kuaminika ambayo imepost hiyo picha inayomuonesha Yanga pia yupo.

Picha inayosambaa ya Yanga kuonekana kwenye miongoni mwa timu zenye nafasi ya kushiriki World Cup imetengenezwa kupitia picha origina hii hapa



Umeona hiyo picha hapo juu?

Hiyo ndio picha halisi na wahuni wakaitumia kufanya editing.

Umeme umekatika huku eneo langu ningeweza kukuwekea kina Namungo, Dodoma Jiji, Tabora United, Mtibwa halafu nikuoneshe itumike kama uthibitisho tuone kama usingeona umuhimu wa kuhoji chanzo.
 
Kwanza unabidi ujue idadi ya timu zinazohitajika.

Ukishajua hilo utaona hoja yako ya kusema kigezo cha kucheza hayo mashindano ni kuchukua ubingwa ni hoja ya kijinga.

Kwasababu kwanza unapaswa uelewe kuwa wakati timu zingine zinatafuta nafasi ya kupita, tayari kuna timu zilishakuwa qualified hazihitaji kufanya jitihada zozote ili zifuzu.

Sasa unaposema kigezo ni mpaka timu ichukue ubingwa, umefikiria hatma itakuwaje ikiwa moja ya hizi timu zilizo qualify zikachukua ubingwa??

Yani Wydad au Al Ahly akichukua ubingwa ina maana watakuwa peke yao kwasababu wengine kushiriki ni mpaka wangechukua ubingwa??

Jibu rahisi ni kuwa iwapo itatokea Wydad na Al Ahly hawajachukua ubingwa basi hiyo nafasi ya mtu kupita kwa kigezo cha ubingwa ndio itakuwa applied.

Vinginevyo maana yake ni point ndio zitazoamua kwenye hizo nafasi mbili zilizobaki na ndio hapo mantiki ya kuletwa orodha ya timu 12 zenye wingi wa point inapojidhihirisha
 
Yote tisa kumi ni kwamba wote mtayatazama mashindano kwenye TV
 
Hoja ya kijinga itakuwa umeleta wewe usiyejua kipaumbele ni kipi kati ya wa rank au mabingwa. Ndio maana kuna nafasi tatu upande wa ubingwa vs nafasi moja upande wa rank. Hiyo unayoongelea wewe ni coincidence (ikitokea bingwa wamejirudia) . Je ikitokea Yanga au Asec anabeba ubingwa wa champions league je watakuwa wamekidhi vigezo vya michuano ya FIFA ama lah
 
Mashabiki wa Yanga ni comedian mjajijua tu hivi unafikiri kwanini watu walikuja na ushauri kuwa Club ziwe na idara ya uchekeshaji?

Waliwaangakia nyinyi wakaona hivyo vipaji vilivyo jificha.

Ebu nisomee hapa kigezo kilichotumika kupitisha timu za kushiriki World Cup

 
Kwahiyo hayo maelezo umeweza kuyasoma ila kuendelea mpaka chini ukaona utaumbuka?
walipoandika
"AFRICA – 4 teams
Via champions pathway (CAF Champions League) – 3 teams
2020/21 and 2022-23: Al Ahly SC (EGY)
2021/22: Wydad AC (MAR)
2023/24: TBC
Via ranking pathway – 1 team
TBC "

Haya via champions pathway kuna 3teams, tayari kuna wawili wameshapatikana ambao ni hapo wameainisha ni Al Ahly na Wydad ambao ni bingwa wa CAFCL 2021, 2022 na 2023. Je hiyo nafasi moja katika via champions league pathway inapatikana kwa kutumia mashindano ya msimu upi?
 
Twende taratibu

Kabla ya mashindano haya kuwa extended unajua sheria iliyotumika kupata timu shiriki?
 
Twende taratibu

Kabla ya mashindano haya kuwa extended unajua sheria iliyotumika kupata timu shiriki?
Usihame, jibu swali kama nilivyouliza. Kama uwezi tulizana, sio kuuliza swali kabla hujanijibu swali langu juu.
 
Usihame, jibu swali kama nilivyouliza. Kama uwezi tulizana, sio kuuliza swali kabla hujanijibu swali langu juu.
Kwasababu nimebaini nabishana na mtu ambaye hajui chochote kuhusu mchakato uliotumika

Na ili kujiridhisha kama nafanya argument na mtu mwenye ufahamu basi nimekuuliza lile swali ili nijue nabishana na mtu wa namna gani

Swali lenyewe ni hili

Kabla ya mashindano haya kuwa extended unajua sheria iliyotumika kupata timu shiriki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…