Club ya Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano

Tchouameni hachezi vizuri beki wa kati kumzidi Militao
Miltao huyu wa sasa sio wa mwanzo wa Msimu, Kama ataendeleza na kiwango kibovu hivi Bora zaidi Tchouameni.

Ila naomba Miltao arudi kwenye ubora wake ili Tchouameni Acheze Eneo la Kati hua nafasi Sana unyama wa huyu jamaa akiwa eneo Hilo.

Rejea mechi ya Buyern Munich Allianz arena Aliua Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…