Tumeshawazoea ,endeleeni kujitekenya na kujichekesha baadae mtaanza kulialia kama kawaida yenuYanga naona mnatoa mapovu, nyie mmeanza kutumia huo mfumo lini?? Kwa hiyo Madrid wakishinda sababu ni mfumo kama wenu na nyie mnajiona mmefanikiwa??
Simba Sc daima inaweka mifano ya kufuatwa hapa EA.
Tatizo anaongea vitu bila kuwa na uhakikaSio kweli Barcelona na majority ya timu za Spain zinaongozwa kwa mtindo wa wanachama. Wanachama ndio wenye sauti na ndio maana zina mafanikio makubwa kuliko hizo za hisa.
Hata timu za Germany ni hivyo hivyo tu including Bayern Munchen.
Ujerumani kuna sheria inaitwa 50+1 rule, ambapo asilimia 50 ya hisa inatakiwa kumilikiwa na wanachama wale ambao ni season ticket holder, hii ndio inafanya wanachama ama mashabiki kuwa na nguvu sana kwenye club za ujerumani tofauti na ligi zingineSio kweli Barcelona na majority ya timu za Spain zinaongozwa kwa mtindo wa wanachama. Wanachama ndio wenye sauti na ndio maana zina mafanikio makubwa kuliko hizo za hisa.
Hata timu za Germany ni hivyo hivyo tu including Bayern Munchen.
Mmeanza Kuwanga1. SIMBA SC (Tanzania).
2. Arsenal FC (England)
3. Man Utd (England)
4. AC Milan (Italy)
5. Barcelona (Spain)
6. Bayern Munich (Germany)
Club zinazoendeshwa kwa mfumo wa wanachama ni;
1. Yanga SC(Dar Tz)
2. Kiluvya Utd (Pwani Tz)
3. Kauzu FC(Dar Tz)
4. Mlalakua (Dar Tz)
5. Mbao FC(Mwanza Tz)
6. Misosi FC(Dar Tz)
7. Majimaji FC(Songea Tz)
8. Coastal Union (Tanga Tz)
9. Lipuli FC (Iringa Tz)
1. SIMBA SC (Tanzania).
2. Arsenal FC (England)
3. Man Utd (England)
4. AC Milan (Italy)
5. Barcelona (Spain)
6. Bayern Munich (Germany)
Club zinazoendeshwa kwa mfumo wa wanachama ni;
1. Yanga SC(Dar Tz)
2. Kiluvya Utd (Pwani Tz)
3. Kauzu FC(Dar Tz)
4. Mlalakua (Dar Tz)
5. Mbao FC(Mwanza Tz)
6. Misosi FC(Dar Tz)
7. Majimaji FC(Songea Tz)
8. Coastal Union (Tanga Tz)
9. Lipuli FC (Iringa Tz)
Matopeni nayo imo au ndiyo kwanza inaingia with unexpected results?
Niambie Real Madrid ipo kwenye mfumo gani. Ndiyo Club iliyoshinda zaidi Champions League including back to back
Yanga naona mnatoa mapovu, nyie mmeanza kutumia huo mfumo lini?? Kwa hiyo Madrid wakishinda sababu ni mfumo kama wenu na nyie mnajiona mmefanikiwa??
Simba Sc daima inaweka mifano ya kufuatwa hapa EA.
Imeuzwa mpaka na wanachama wake
Ni kweli kwa sababu hapo hiyo simbwa haipoUmesahau kuwa timu zote ulizotaja kwenye hilo kundi la Simba ni za mpira wa miguu lakini sio za mbumbumbu kama ilivyo Simbwa.
Huu ndio ugomvi wa ngumi kabisaaa[emoji2]1. SIMBA SC (Tanzania).
2. Arsenal FC (England)
3. Man Utd (England)
4. AC Milan (Italy)
5. Barcelona (Spain)
6. Bayern Munich (Germany)
Club zinazoendeshwa kwa mfumo wa wanachama ni;
1. Yanga SC(Dar Tz)
2. Kiluvya Utd (Pwani Tz)
3. Kauzu FC(Dar Tz)
4. Mlalakua (Dar Tz)
5. Mbao FC(Mwanza Tz)
6. Misosi FC(Dar Tz)
7. Majimaji FC(Songea Tz)
8. Coastal Union (Tanga Tz)
9. Lipuli FC (Iringa Tz)
CUF inaitambua Simba kama club bora ya muda wote Tanzania, sijui unajua hili??Yanga SC hakuitaji mfumo wa hisa kubeba NDOO 26 za ligi kuu bara!