Club za mpira wa miguu duniani zinazoongozwa kwa mfumo wa hisa ni hizi

CUF inaitambua Simba kama club bora ya muda wote Tanzania, sijui unajua hili??

hebu tupe link(rasmi) ya mtandao wa CAF inayoonyesha na kuthibitisha unaloliamini ili tuweze kuliamini na sisi......!

> Ndani ya hiyo link kuwe na vizingatiwa vikionyesha ubora wa Simba wa muda wote Tanzania

>Bila shaka ubora huo wa muda wote utakuwa unachochewa na Mafanikio nchini Tanzania kuliko Club yeyote ile nchini.

>Hiyo link pia ionyeshe idadi ya mafanikio kwa namba ambayo umeyapata (Idadi ya jumla ya mataji nani ya nchi).
 
Wanachama wa mambele c ombaomba ka akilimali,mkwasa na ww ukiwemo bila kusahau bilinganya Muro.
Huko ni kutafuta pa kujifichia kusema yanga ni kama Madrid[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mna wanachama wasiowapa faida
Nyinyi si kama Barcelona bali ni kama MISOSI FC[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna namna nyingi za kuendesha Club. Si lazima iwe bidhaa kama mambumbumbu mnavyofanya. Haya sasa mkanunue hisa wakati buku moja ya ada kila mwezi ilikuwa mtihani mkubwa
 
Mwelimisheni Huyo bwanamdogo mwambieni mambo ya hisa yako England zaidi na ndo maana timu hazifanyi vizuri sana nje ya nchi zinakiwa na MTU mmoja anasauti kuliko wengi. Kwa hiyo mchezaji anayemtaka ndiyo anasajiliwa. Angalia wakali wa Spain na German wako vizuri
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Teh teh teh nakubaliana na wewe mkuu
 
Nyinyi sibonike na sodio sawa zile zinendeshwa na wanachama ila
Nitajie klabu kubwa ya afrika inayoendeshwa na wanachama.Ninyi si mpo afrika kwan mpo Spain au Germany
Nyinyi tunaona mnalialia kila siku hafu bado cjui mnatetea nn
Uwanja wenu mnafuga kambale
Halafu mnasema cjui klabu za wanachama ulaya ndo zenyewe mancity je? Paris anayepiga hako ka Bayern mnakokatetea kama mbwa mwizi unafikir yupo kwenye mfumo ka wenu?
Msijifariji mshaachwa
Poleni sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent using my xm udongo using jf mobile app
 
mda utasema
 

Founded in 1899 by a group of Swiss, English and Catalan footballers led byJoan Gamper, the club has become a symbol of Catalan culture and Catalanism, hence the motto "Més que un club" (English: "More than a club"). Unlike many other football clubs, the supporters own and operate Barcelona.
 
vibaya mno.bahati mbaya ndio washa uza timu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseh mtu ukimzidi lazima akuponde ila karoho kanamuuma
Ninyi ndala mbona vigeugeu sana
Ingia kwenye thread yenu huko uone watu wanavyolialia eeh tunataka hisa
Ninyi hapa cjui vp ilimuradi mjitetee
Tangu lini hako ka mfumo ka uanachama kakakupa mafanikio Africa?
Angalia kuanzia AL AHLY,WYDAD CASABLANCA,TP MAZEMBE,ZAMALEK,MAMELODI SUNDOWNS ETC zote hisa hizo
Uanachama wenyewe umeshindwa mara manji katoka mnapitisha bakuli na bado mnajitetea.Kweli hawa ndo wabongo!!!!!!!!!!??!!!!
Gd9t!!!!!????!!!!!!
 
8 mil $ haiwezi hata kununua mchezaji wa maana.
 
Okei, vipi kuhusu Yanga??
 
Man Utd ni timu ya Familia ya kina Glazer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…