demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
CUF inaitambua Simba kama club bora ya muda wote Tanzania, sijui unajua hili??
hebu tupe link(rasmi) ya mtandao wa CAF inayoonyesha na kuthibitisha unaloliamini ili tuweze kuliamini na sisi......!
> Ndani ya hiyo link kuwe na vizingatiwa vikionyesha ubora wa Simba wa muda wote Tanzania
>Bila shaka ubora huo wa muda wote utakuwa unachochewa na Mafanikio nchini Tanzania kuliko Club yeyote ile nchini.
>Hiyo link pia ionyeshe idadi ya mafanikio kwa namba ambayo umeyapata (Idadi ya jumla ya mataji nani ya nchi).