ngumba njeche
Senior Member
- Jan 22, 2017
- 184
- 146
Unashabikia Arsenal Ata Uefa Champs Awachukua ata1kweli wewe mbishiHii balon dor imekuja kuchanganya watu baada ya kuunganishwa na tuzo ya fifa world player of the year.. Ndo maana nlishtuka kuona man u wachezaji wanne, hii ni tuzo ya ulaya.. Kubwa ni fifa world player of the year ambyo ni ya dunia.. Huko ndo unawakuta magwiji kama figo zizou de lima maradona cruyf rivaldo hamna vitoto vya malkia kama owen huko na hao magalasa wa man u zaid ya cr7...
Sijaongelea ushabiki hapa kaka.. Hapa tunaongelea uhalisia, balon dor si ya dunia japo hapo miaka kama mitatu iliungana na fifa wpy kutoa mtu mmoja.. Ww endeleza mapovu na timu za wenzako.. Hizo tabia za kike, ndo wanaume nyie huwa mnaangilia familia za wanaume wenzenu badala yakuconcentrete na zenu utasikia mwanamke wako mweusiii majibu yenu mnatakiwa kupewa ndo nlichompendea.. Boya nn, mm ni shabiki wa champions league au arsenal? Tulize mushene mwanaume wewe, kama man akibeba uefa ndo unajisikia raha basi wengne hata arsenal akiingia na jeesey zake tu uwanjan tunaridhika hata kabla mechi haijaanza...Unashabikia Arsenal Ata Uefa Champs Awachukua ata1kweli wewe mbishi
wakati Ronaldo nachukua kwa mara ya kwanza alikuw timu gani??manichester haijawahi kutoa mchezaji wa kuchukua hiyo tuzo labda kama unahesabia tuzo anazochukua Chirstian Ronaldo akiwa Real Madrid
Nyie ndo manaume ambyo hata vyuon mnataka kujua nan kakupita na kapata gpa yangap.. Fuatilia timu yako na kuwa na proud na timu yko.. Ndo nyie mnakanaga familia kisa haina uchumi sawa na wengne..Unashabikia Arsenal Ata Uefa Champs Awachukua ata1kweli wewe mbishi
Umeuliza VyemaWATAJE KWA MAJINA HAO WACHEZAJI NA MFULULIZO YA MIAKA WALIOCHUKUWA BALLON D'OR.
POVU la OMO limenirukiaSijaongelea ushabiki hapa kaka.. Hapa tunaongelea uhalisia, balon dor si ya dunia japo hapo miaka kama mitatu iliungana na fifa wpy kutoa mtu mmoja.. Ww endeleza mapovu na timu za wenzako.. Hizo tabia za kike, ndo wanaume nyie huwa mnaangilia familia za wanaume wenzenu badala yakuconcentrete na zenu utasikia mwanamke wako mweusiii majibu yenu mnatakiwa kupewa ndo nlichompendea.. Boya nn, mm ni shabiki wa champions league au arsenal? Tulize mushene mwanaume wewe, kama man akibeba uefa ndo unajisikia raha basi wengne hata arsenal akiingia na jeesey zake tu uwanjan tunaridhika hata kabla mechi haijaanza...
Acha uongo alikuwa keshahamaSio lazima ushabikie mpira Kama huujui shabikia hata pool table,baloon d or ya kwanza kwa Ronaldo aliichukua akiwa man united
Sijaelewa wamechukua wakiwa na hivyo vilabu au waliowahi kuchezea?
Acha uongo alikuwa keshahama
Wameshindwa hata na blackpool. Pole yao Washika bundukiIna maana Arsenal hajawahi kuwa na mchezaji bora?