Sijaongelea ushabiki hapa kaka.. Hapa tunaongelea uhalisia, balon dor si ya dunia japo hapo miaka kama mitatu iliungana na fifa wpy kutoa mtu mmoja.. Ww endeleza mapovu na timu za wenzako.. Hizo tabia za kike, ndo wanaume nyie huwa mnaangilia familia za wanaume wenzenu badala yakuconcentrete na zenu utasikia mwanamke wako mweusiii majibu yenu mnatakiwa kupewa ndo nlichompendea.. Boya nn, mm ni shabiki wa champions league au arsenal? Tulize mushene mwanaume wewe, kama man akibeba uefa ndo unajisikia raha basi wengne hata arsenal akiingia na jeesey zake tu uwanjan tunaridhika hata kabla mechi haijaanza...