Club Zinaongoza Kwa Kutoa wachezaji Bora Waliochukua Ballon D'or.

Hii balon dor imekuja kuchanganya watu baada ya kuunganishwa na tuzo ya fifa world player of the year.. Ndo maana nlishtuka kuona man u wachezaji wanne, hii ni tuzo ya ulaya.. Kubwa ni fifa world player of the year ambyo ni ya dunia.. Huko ndo unawakuta magwiji kama figo zizou de lima maradona cruyf rivaldo hamna vitoto vya malkia kama owen huko na hao magalasa wa man u zaid ya cr7...
Unashabikia Arsenal Ata Uefa Champs Awachukua ata1kweli wewe mbishi
 
Sijaongelea ushabiki hapa kaka.. Hapa tunaongelea uhalisia, balon dor si ya dunia japo hapo miaka kama mitatu iliungana na fifa wpy kutoa mtu mmoja.. Ww endeleza mapovu na timu za wenzako.. Hizo tabia za kike, ndo wanaume nyie huwa mnaangilia familia za wanaume wenzenu badala yakuconcentrete na zenu utasikia mwanamke wako mweusiii majibu yenu mnatakiwa kupewa ndo nlichompendea.. Boya nn, mm ni shabiki wa champions league au arsenal? Tulize mushene mwanaume wewe, kama man akibeba uefa ndo unajisikia raha basi wengne hata arsenal akiingia na jeesey zake tu uwanjan tunaridhika hata kabla mechi haijaanza...
 
Nyie ndo manaume ambyo hata vyuon mnataka kujua nan kakupita na kapata gpa yangap.. Fuatilia timu yako na kuwa na proud na timu yko.. Ndo nyie mnakanaga familia kisa haina uchumi sawa na wengne..
Kuwa proud na vyako boya wewe
Arsenal
Simba
Messi
Neymar
Wilshere
Gotze
Arusha
Dit
Arusha sec
Atc
Mwenge boys
Haya anza kuponda si unajua kuponda sana..
 
Sijaongelea ushabiki hapa kaka.. Hapa tunaongelea uhalisia, balon dor si ya dunia japo hapo miaka kama mitatu iliungana na fifa wpy kutoa mtu mmoja.. Ww endeleza mapovu na timu za wenzako.. Hizo tabia za kike, ndo wanaume nyie huwa mnaangilia familia za wanaume wenzenu badala yakuconcentrete na zenu utasikia mwanamke wako mweusiii majibu yenu mnatakiwa kupewa ndo nlichompendea.. Boya nn, mm ni shabiki wa champions league au arsenal? Tulize mushene mwanaume wewe, kama man akibeba uefa ndo unajisikia raha basi wengne hata arsenal akiingia na jeesey zake tu uwanjan tunaridhika hata kabla mechi haijaanza...
POVU la OMO limenirukia
 
Back
Top Bottom