CMG kwa Promo Hakuna anaye waweza

CMG kwa Promo Hakuna anaye waweza

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,097
Reaction score
5,348
Hawa jamaa kwa kufanya promo hakuna anaye wafikia, kwa upande wa redio ni wabunifu sana sana.
Mfano walianzisha mtindo flani ambapo wanafanya matangazo kama vile wanapiga story mtu asipokuwa makini anaweza hisi ni story tu unakuta wanaongea, aisee jana nimepita pale pub flani, kuna nyama choma safi sana na huduma zao safi sana. Kumbe ni tangazo tayari na naona ndo trend ya matangazo mengi siku hizi na redio nyingine zimeadapt.
Wakishikiria kampeni bango wataipigia promo mpaka basi kwenye kila kipindi kila dakika unaskia.
jambo lingine ambalo linanifurahisha, uwa ninaona wanawajali sana wafanyakazi wao nadhani wanaenjoy kufanya kazi pale maana kusafiri safiri sana, mtu anapiga mishe zaidi ya moja ndiyo maana ndoto za vijana wengi wanaotaka kuwa kwenye entertainment industry ni kufanya kazi CMG.
 
Hawa jamaa kwa kufanya promo hakuna anaye wafikia, kwa upande wa redio ni wabunifu sana sana.
Mfano walianzisha mtindo flani ambapo wanafanya matanazo kama vile wanapiga story mtu asipokuwa makini anaweza hisi ni story tu unakuta wanaonge, aisee jana nimepita pale pub flani, kuna nyama choma safi sana ya huduma zao safi sana. Kumbe ni tangazo tayari na naona ndo trend ya matanazo mengi siku hizi na redio nyingine zimeadapt.
Wakishikiria kampeni bango wataipigia promo mpaka basi kwenye kila kipindi kila dakika unaskia.
jambo lingine ambalo linanifurahisha, uwa ninaona wanawajali sana wafanyakazi wao nadhani wanaenjoy kufanya kazi pale maana kusafiri safiri sana, mtu anapiga mishe zaidi ya moja ndiyo maana ndoto za vijana wengi wanaotaka kuwa kwenye entertainment industry ni kufanya kazi CMG.
NAWE PIA UNAWAPA PROMO KIMTINDO
 
NAWE PIA UNAWAPA PROMO KIMTINDO
Aisee hawahitaji promo maana wao ni promo tosha mkuu, ila tu nimetoa mtazamo wangu wa hawa jamaa. Ukiweka kando matatizo yao mengine napenda sana ubunifu wao na wafanyakazi wao wanavyoenjoy
 
CMG wako vzr huo ndio ukweli na siioni Radio station au Tv station inayoweza kuwapiku kwa miaka kumi ijayo mbele kutokana na ubunifu walio nao, na hili wamefanikiwa kutokana na kuangalia vipaji na Cyo Elimu kinachofelisha stations zingine ni kucopy vitu.
 
Redio nyingine zime copy mpangilio wa vipindo na kinachojadiriwa tofauti ni majina tu
 
CMG wako vzr huo ndio ukweli na siioni Radio station au Tv station inayoweza kuwapiku kwa miaka kumi ijayo mbele kutokana na ubunifu walio nao, na hili wamefanikiwa kutokana na kuangalia vipaji na Cyo Elimu kinachofelisha stations zingine ni kucopy vitu.
Tv yao ni mbovu aina jipya imekosa watazamaji siku hizi, utaki jibebe.
 
CMG wako vzr huo ndio ukweli na siioni Radio station au Tv station inayoweza kuwapiku kwa miaka kumi ijayo mbele kutokana na ubunifu walio nao, na hili wamefanikiwa kutokana na kuangalia vipaji na Cyo Elimu kinachofelisha stations zingine ni kucopy vitu.
[emoji106]
 
TBC wanaangalia elimu zaidu ya vipaji..wale akina mama sijui wanawatowaga wapi..mvuto hakuna kabisa..(don't mean to offend somebody)
 
√Clouds especially clouds fm wanajua ni nini kinachotakiwa kufanyika na kwa muda gani

√East africa radio atleast kipindi cha nyuma ndo walikuwa wanaweza kuwachallange hawa jamaa ila hawa Efm ukiacha sports crew yao hakuna kipya..
 
East Africa Rodney alikufa na vision yake
 
Ni kweli wanawapa Uhuru sana wafanyqkazi wake!

Mfano ukiwa na biashara yako unakuta kuipa promo ni bure na Huwa wanahimizwa kutafuta vitu mbadala vya kuingiza kipato!

Angalia mfano born to shine, kale kajamaa Kengine huwa kanaipa promo carwash yake.....
 
Walivyoanza pale kitega uchumi ilikuwa ni uhuni tu kidogo kipindi cha power break fast na jahazi ndio vilivyokuwa tofauti kubwa na redio nyengine, sema walivyounguliwa na moto ndio wakaamua wajibebe mazima, kwa sasa wamebadilika sana lakini zamani watu wenye maofisi yao makubwa walikuwa hawapeleki matangazo yao pale, ilikuwa uhuni au tusemae ujana ulikuwa mwingi, wazee waliiona redio ya vijana
 
Back
Top Bottom