kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Hawa jamaa kwa kufanya promo hakuna anaye wafikia, kwa upande wa redio ni wabunifu sana sana.
Mfano walianzisha mtindo flani ambapo wanafanya matangazo kama vile wanapiga story mtu asipokuwa makini anaweza hisi ni story tu unakuta wanaongea, aisee jana nimepita pale pub flani, kuna nyama choma safi sana na huduma zao safi sana. Kumbe ni tangazo tayari na naona ndo trend ya matangazo mengi siku hizi na redio nyingine zimeadapt.
Wakishikiria kampeni bango wataipigia promo mpaka basi kwenye kila kipindi kila dakika unaskia.
jambo lingine ambalo linanifurahisha, uwa ninaona wanawajali sana wafanyakazi wao nadhani wanaenjoy kufanya kazi pale maana kusafiri safiri sana, mtu anapiga mishe zaidi ya moja ndiyo maana ndoto za vijana wengi wanaotaka kuwa kwenye entertainment industry ni kufanya kazi CMG.