You can fool some for sometime but not all in all times.My friend, don't blame CNN for the incompetence of your leaders. Even a ten year old knows the Makinika + tax bill is pure tosh!!
Blame ccm who even after 50 years if independence,cannot protect our resources. We shouldn't be discussing this in 2017! 1961, maybe.
Sent using Jamii Forums mobile app
I can't tell but the amount mentioned here is illogical to a sensible man!What do you think is the right amount ?
If you think 190B is exaggeration?
Wewe hata akitiwa mkeo utailaumu ccm !My friend, don't blame CNN for the incompetence of your leaders. Even a ten year old knows the Makinika + tax bill is pure tosh!!
Blame ccm who even after 50 years if independence,cannot protect our resources. We shouldn't be discussing this in 2017! 1961, maybe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchunguzi huru ni nani?Tatizo ni pale unaposhikilia mchele nakudai mle ndani kuna mchele grade 1 halafu mwenye mchele anakuambia kuna grade 3 kwa kujiamini wakati bado umeshikilia mchele wake
Anakuambia umetumia ujuzi upi kupata grade 1 wakati huo yeye akijiamini kwa aliyotumia kupata grade 3.
sasa ikitokea mkatofautiana pakubwa hivyo mnatakiwa kutafuta kampuni ambayo haifungamani na upande wowote kufanya uchunguzi
Sitaamini taarifa ya kamati mpaka uchunguzi huru utakapofanyika
Give us your correct figure !You might have an idea but I think the amount is so exaggerated, $192B!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Quantity haiendani na uhalisiaMchunguzi huru ni nani?
Hata makabrasha feki juu ya idadi ya makontena nayo yanahitaji mchunguzi huru?
Lakini nakubaliana na serikali yetu kuwapelekea hiyo tax invoice. Wamewaweka kwenye defensive. Wao accacia wapinge sasa kwa nini isiwe hivyo. After all ukweli unabaki kwamba madini yanaibiwa na hayatusaidii kuondokona na umasikini. Vema yasiendelee kuchimbwa kwa hali ilivyo.jingalao you simply make all this contemptuous comments just to woo cheap attention today. Your arguments are baseless and misaligned. Go do your research again before showing up with this callous jibe.
Lakini nakubaliana na serikali yetu kuwapelekea hiyo tax invoice. Wamewaweka kwenye defensive. Wao accacia wapinge sasa kwa nini isiwe hivyo. After all ukweli unabaki kwamba madini yanaibiwa na hayatusaidii kuondokona na umasikini. Vema yasiendelee kuchimbwa kwa hali ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
The amount is suprising to the layperson!I can't tell but the amount mentioned here is illogical to a sensible man!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliyehamisha akili ni wewe tu.
Basi mtakuwa wawili