CNN are they misleading or skipping fact?! Question from Tanzania

My friend, don't blame CNN for the incompetence of your leaders. Even a ten year old knows the Makinika + tax bill is pure tosh!!

Blame ccm who even after 50 years if independence,cannot protect our resources. We shouldn't be discussing this in 2017! 1961, maybe.

Sent using Jamii Forums mobile app
You can fool some for sometime but not all in all times.
 
Ngoja nipambane na hali yangu msimu wa korosho umekaribia
 
My friend, don't blame CNN for the incompetence of your leaders. Even a ten year old knows the Makinika + tax bill is pure tosh!!

Blame ccm who even after 50 years if independence,cannot protect our resources. We shouldn't be discussing this in 2017! 1961, maybe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata akitiwa mkeo utailaumu ccm !
 
Tatizo ni pale unaposhikilia mchele nakudai mle ndani kuna mchele grade 1 halafu mwenye mchele anakuambia kuna grade 3 kwa kujiamini wakati bado umeshikilia mchele wake

Anakuambia umetumia ujuzi upi kupata grade 1 wakati huo yeye akijiamini kwa aliyotumia kupata grade 3.

sasa ikitokea mkatofautiana pakubwa hivyo mnatakiwa kutafuta kampuni ambayo haifungamani na upande wowote kufanya uchunguzi

Sitaamini taarifa ya kamati mpaka uchunguzi huru utakapofanyika
 
Mchunguzi huru ni nani?
Hata makabrasha feki juu ya idadi ya makontena nayo yanahitaji mchunguzi huru?
 
jingalao you simply make all this contemptuous comments just to woo cheap attention today. Your arguments are baseless and misaligned. Go do your research again before showing up with this callous jibe.
Lakini nakubaliana na serikali yetu kuwapelekea hiyo tax invoice. Wamewaweka kwenye defensive. Wao accacia wapinge sasa kwa nini isiwe hivyo. After all ukweli unabaki kwamba madini yanaibiwa na hayatusaidii kuondokona na umasikini. Vema yasiendelee kuchimbwa kwa hali ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huuupumbavu no proper investigation wanabandika figure tu, ningekuwa kiongozi wa acacia nasiwafuati kwa mazungumzo
wakileta ujinga nawapa chamoto
viongozi wanatuzalilisha sana
 
Lakini nakubaliana na serikali yetu kuwapelekea hiyo tax invoice. Wamewaweka kwenye defensive. Wao accacia wapinge sasa kwa nini isiwe hivyo. After all ukweli unabaki kwamba madini yanaibiwa na hayatusaidii kuondokona na umasikini. Vema yasiendelee kuchimbwa kwa hali ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

tumehama kwenyekuibiwa madini sasa tupo kwenye kuibiwa kodi, nakampuni ambayo serkali haiitambu
hhaaaaaaaa
 
Kila mwenye akili alijua na anajua pale TRA waliteleza
 
Back
Top Bottom