CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua"

CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua"

Kuuwauwa watoto na watu wasio na hatia hovyo hovyo sio kitu kidogo utaweweseka balaah maisha yako yote damu ya mtu sio kitu chepesi.
 
Damu ya mtu huwa sio nzuri ukimuua mtu Ile roho yake itakuwa inakulilia sasa hao wanaojiua sio wao Ile roho walizoziangamiza zinawalilia huwezi ukawa uko sawa
 
Wale Haredi Jews wamegoma kuorodheshwa kupigana vita wanasema hiyo vita Haina faida kwao na wao wamekaa na wapalestina kwa miaka mingi bila tatizo wanashangaa hawa Ashkenazi wanaoleta hizi chokochoko
 
Back
Top Bottom