CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

Donald Trump ni mzungu mwenye tabia zote za madikteta weusi wa Africa. Bahati iliyowaokoa wamarekani ni Katiba yao imara iliyosimamisha taasisi Imara zenye nguvu na huru ambazo haziwezi kuendeshwa au kuyumbishwa kirahisi na maamuzi ya mtu mmoja.
Donald Trump alishasema CNN ni fake news kazi yao ni kufanya propogada kwa maslahi ya main stream media. Ukitaka kujua mengi zaidi kuhusu hii fake news watch Fox News hao ndio kiboko yao. Wamarekani wengi hawaangalii CNN
 
 
Very strange!

Huna sababu ya kutahayari kuhusu nchi yako inazungumzwaje na vyombo vya habari vya nchi za nje.

Nchi yetu ni nchi huru, a sovereign country wao wanasema. Kama nchi huru kuna mambo fulani tutayafanya kivyetu vyetu kinamna namna zetu.

Kama tutataka kila kitu tunachokifanya kionekane kiko sahihi kwa mtazamo wa vyombo vya habari vya kimataifa basi tukubali kwamba nchi yetu iwe kitengo kimojawapo miongoni mwa vitengo vya Aljazeera na CNN.

Ili kabla hatujanywa maji au hatujala chakula au hatujavaa nguo au hatujaenda choo tuwaulize mabosi wetu CNN kwamba hivi haya tunayotaka kuyafanya ni sahihi siyo sahihi? Tuna kibali chenu au hatuna kibali chenu? Mtatuzungumzia vizuri au hamtatuzungumzia vizuri?

Very strange indeed!

Mimi kilio changu ni kuona hii nchi imejaa watu walioelimika kweli kweli, wanaoweza kuzisoma nyakati na kupambanua mambo, na kugundua kwamba hapa duniani mchezo ni survival of the fittest, na kila mmoja anaangalia maslahi yake. Maslahi ya Marekani na vyombo vyake si lazima yawe maslahi ya Tanzania na vyombo vyake. Pale tutakapoona maslahi mapana ya nchi zetu yanashabiiana tutapatana, pale maslahi yasipokwenda sawa, mfano iwapo tafsiri za demokrasia haziendi sambamba na dira ya uchumi na amani ya nchi, tutaonana wabaya tu.

Mbona na wao wako hivyo tu? Mara ngapi wamepindua democratically elected regimes duniani kote kisa viongozi waliochaguliwa wameenda kinyume na maslahi ya nchi za magharibi?
 
Mwendambinguni alimfundisha kuumiza Sasa a ha atekeleze aliyoa hiwa mshaambiwa hatabasirika no Yule yulw
 
Kwanza Tanzania inqzsidi kujupikq a cnn rfq bbf ndiyo habari ya Dunia
 
Je wanamwonea mtu? Miwani zao unauwezo wa kuzivaa!?
 
Kujua kinachoendelea unahitaji kuangalia picha halisi kwa marefu na mapana.

Ishu sio mbowe kupewa kesi ya ugaidi ishu ni watanzania kupumbazwa kuhusu Mbowe ili chanjo za corona na uhuru ambao mtanzania anapoteza kila siku zinavyoenda .
Pesa ya corona imeingia wenye pesa zao wanataka tufuateasharti ambayo 75% ya waTz wanaona ni ya kipuuzi sasa tunafanyaje?kwakuwa mbowe nae kapokea fungu lake basi M/kiti kakubali kuwa centre of attention kuwapumbaza watu.

Hapa ishu ni Agenda ya corona inavyopenyezwa kupitia Mbowe.

Mbowe hajawahi kuwa na kashfa ya ugaidi ukiona kapewa tuhuma z ugaidi laZima ujue lengo ni nini na kujua lengo laZima uanagalie tanzania kwa ujumla.

Huu ni mpango ambao wenyewe uelewa na wasioshabikia siasa tu ndo wataelewa.
 
Nipo upande wa mama tofauti na mwanzo na anaupiga mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…