Huyu mbugira atapata tabu sanaAkajisalimishe mwenyewe ICC
Waambie watume jeshi lao limkamate teh teh teh! WHO ARE YOU?Akajisalimishe mwenyewe ICC
Pole mama Samia, hao ndio binadamu hata ukicheza kwenye Swimming Pool bado watakuambia unawatimulia vumbi, songa mbele kwa mapenzi ya Mungu aliyekuweka hapo kwenye kiti hicho. Ndiyo maana nabii Nuhu aliamua kuchukua wanyama kwenye safina akawaacha wanadamu. Wanadamu hawana shukran wapo kukosoa tu, wamesahau wema uliowatendea piga kazi mama songa mbele, hata mitume pia walidhihakiwa 🤲🤲
Labda ICC ya Kazuramimba. Lakini nguvu iliyotumika kuzima vurugu inaendana na vurugu zenyeweHuyu kafiri ana case ya kujibu ICC
Na badoPole mama Samia, hao ndio binadamu hata ukicheza kwenye Swimming Pool bado watakuambia unawatimulia vumbi, songa mbele kwa mapenzi ya Mungu aliyekuweka hapo kwenye kiti hicho. Ndiyo maana nabii Nuhu aliamua kuchukua wanyama kwenye safina akawaacha wanadamu. Wanadamu hawana shukran wapo kukosoa tu, wamesahau wema uliowatendea piga kazi mama songa mbele, hata mitume pia walidhihakiwa 🤲🤲
Samia leo alipaniki na watabe wakatumia mwanya kupita nae
😁Pole mama Samia, hao ndio binadamu hata ukicheza kwenye Swimming Pool bado watakuambia unawatimulia vumbi, songa mbele kwa mapenzi ya Mungu aliyekuweka hapo kwenye kiti hicho. Ndiyo maana nabii Nuhu aliamua kuchukua wanyama kwenye safina akawaacha wanadamu. Wanadamu hawana shukran wapo kukosoa tu, wamesahau wema uliowatendea piga kazi mama songa mbele, hata mitume pia walidhihakiwa 🤲🤲