Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Mtu anazidi kuingizwa kingi.
Utafeli interview ikiwa hata akili kidogo ya kuchanganua huna. Unapoona George marato wa ITV anaripoti habari tu za mkoa wa mara huwa unaelewa nini?Kwani huko CNN Mtangazaji ni Larry peke yake au?🤣🤣🤣
Wananchi wa Tanganyika na wa Zanzibar hawaelewi huo muungano, hawajui sababu za kuungana waliahtukizwa tu kkna karume na nyerere, ccm nao wakashikia bango na kuulinda kwa damu hadi leo. Kosa sio la wananchiMliivamia wenyewe Zanzibar wacha karma iwatese
Sijawahi kumuona George Marato akiwa Studio huwa namuona akiwa eneo la tukioUtafeli interview ikiwa hata akili kidogo ya kuchanganua huna. Unapoona George marato wa ITV anaripoti habari tu za mkoa wa mara huwa unaelewa nini?
BBC,VOA,AlJazeera,DW vyote vita-report hivyo hivyo labda TBCCNN ni chombo cha propaganda kisichokubalika hata kwao Marekani. Tukipuuuze.
Sahihi.Mwanamke hafai kushika madaraka, ni nchi yenye wanaume wapumbafu tu ndio wanaoruhusu huu ujinga.
Huyo dg ni chizi achana naeUtafeli interview ikiwa hata akili kidogo ya kuchanganua huna. Unapoona George marato wa ITV anaripoti habari tu za mkoa wa mara huwa unaelewa nini?
Hakuna mwandishi wa cnn wala bbc ameruhusiwa kuja kureport hizo habari huku fieldSijawahi kumuona George Marato akiwa Studio huwa namuona akiwa eneo la tukio
Kweli kabisa kosa si la wananchi lakini watanganyika wengi wakiandika humu kuupigia debe huo muungano wakati raisi alikuwa Mtanganyika mpaka kanisa katoliki lilisema Muungano uliwekwa na mungu kwa hivyo wakristo waulinde kwa hali yoyote. Sasa baada kuja huyu mama anayejiita muislamu mnaanza kuleta udaWananchi wa Tanganyika na wa Zanzibar hawaelewi huo muungano, hawajui sababu za kuungana waliahtukizwa tu kkna karume na nyerere, ccm nao wakashikia bango na kuulinda kwa damu hadi leo. Kosa sio la wananchi
Amepata habari ya kwenda nayo na upepo, lakini tunavyowajua wazungu, muda si mrefu ataambiwa hizo habari za tanzania kila siku tumezichoka nenda katafute habari nyingine mbaya kuhusu afrikaKwani huko CNN Mtangazaji ni Larry peke yake au?🤣🤣🤣
Hiyo ya katoliki kusema muungano uliletwa na Mungu wakristo waulinde Sina Imani nayo sababu wakatoliki sio wasemaji wa wakristo.Kweli kabisa kosa si la wananchi lakini watanganyika wengi wakiandika humu kuupigia debe huo muungano wakati raisi alikuwa Mtanganyika mpaka kanisa katoliki lilisema Muungano uliwekwa na mungu kwa hivyo wakristo waulinde kwa hali yoyote. Sasa baada kuja huyu mama anayejiita muislamu mnaanza kuleta uda
NakaziaHayo makofi yanayo pigwa na wazee..marufuku wazee kuachiwa seat kwenye daladala…marufuku
Waje wamkamate kama wanawezaAkajisalimishe mwenyewe ICC
who are youDaaa ukiacha kiburi Cha kijinga kuanzia Sasa Hadi Samia anaingia kaburini ataishi maisha magumu sana, nchi yenye budget ya $23b eti Ina battle na mabeberu