PostGE2025 CNN: Samia akiri kutoa amri ya kuua maelfu ya wananchi waliokuwa wakiandamana kudai haki zao

PostGE2025 CNN: Samia akiri kutoa amri ya kuua maelfu ya wananchi waliokuwa wakiandamana kudai haki zao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna msemo wa kiswahili unasema kuwa 'Ukitaka kumuua kumbikumbi mpe mabawa'Hotuba ya leo ya Samia walioianda wamemmaliza,na Yeye asivyoweza kuchanganua mambo kafuata hivyo hivyo,hajui watu wanatafuta ushaidi, ngoja tuone mwisho wa kiburi chake.
Amejikabidhi ICC mwenyewe kwa mdomo wake
 
Pole mama Samia, hao ndio binadamu hata ukicheza kwenye Swimming Pool bado watakuambia unawatimulia vumbi, songa mbele kwa mapenzi ya Mungu aliyekuweka hapo kwenye kiti hicho. Ndiyo maana nabii Nuhu aliamua kuchukua wanyama kwenye safina akawaacha wanadamu. Wanadamu hawana shukran wapo kukosoa tu, wamesahau wema uliowatendea piga kazi mama songa mbele, hata mitume pia walidhihakiwa 🤲🤲
Mnaweza kuonyesha huo wema aliowatendea watu
 
Siku moja atakataa atasema hakusema yeye,tatizo huyu mama tulipigwa
Huyu mama toka aue vijana tarehe 29/10, hayupo sawa haelewi anasema nini ; mnakumbuka aliposema NEPOTISM ndio chanzo cha taasisi zetu kufanya vibaya halafu kesho yake akatangaza Baraza la mawazili lililojaa ndugu zake wakiwemo binti yake na Mkwe wake!!! Mwanamke hana soni huyu.
 
kwa mapenzi ya Mungu aliyekuweka hapo kwenye kiti
Kuna siku utatueleza huyu "Mungu" wenu na Samia ni wa namna gani huyo.

Sina shaka yoyote juu ya huyo "mungu" kutoipenda Tanzania moja kwa moja; ni "Mungu" ambaye anasubiri kuliangamiza taifa hili.

"Mungu" huyo ni SHETAN tusiyemtaka kuwa karibu na taifa letu.I.
 
Mungu Abraham na Izaka na Yakobo
 
Kuna siku utatueleza huyu "Mungu" wenu na Samia ni wa namna gani huyo.

Sina shaka yoyote juu ya huyo "mungu" kutoipenda Tanzania moja kwa moja; ni "Mungu" ambaye anasubiri kuliangamiza taifa hili.

"Mungu" huyo ni SHETAN tusiyemtaka kuwa karibu na taifa letu.I.
Huyu kuna agenda zake anataka kuifanyia Tanganyika lakini Mungu alivyo mkuu, kwa hali iliopo itakuwa ngumu kufanikisha hayo, acha tuendelee ku-observe as time goes by.
 
Back
Top Bottom