Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Mlima Kilimanjaro naona unahali mbaya.
Hujuma za jiwe hizo,si unajua yeye na watu wa kilimanjaro haziivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki ndugu mazingira mazuri tumejaaliwa na Mwenyezi MunguNchi yetu inapiga hatua kubwa sana
Mazingira mazuri yanayowekwa na Rais Magufuli yanachochea utalii
Acha kutaka kutujaza mafui
Vivutio vilikuwepo vitaendelea kuwepo usije na stori zako hapa useme Magufuli nyenyenyee
Vivutio ni asili
Jisumbue kusoma utatambua haya yanasemwa kila mwaka
Nchi yetu inapiga hatua kubwa sana
Mazingira mazuri yanayowekwa na Rais Magufuli yanachochea utalii
Huyo Kawe Alumni na GENTAMYCINE nadhani ni Vila..za grade 1 hapa jf mmoja mwenyekiti mwingine katibu.
Alumn na Gent... tushawazoea wazee wa kuponda kila kitu ila Q400 bombadia naona wameumia sana, make wangeeleza mpk ya ndani ya mahakama kumshangilia mkulimaHa ha ha , br ndo unajua saivi 2shawazoea hao
Kwa hiyo mafanikio yote hayo yanatokana na jitihada za serikali ya awamu ya tano ?Sasa bila mazingira mazuri yaliyowekwa na mh.rais Haya yangekuwepo,je kabla ya mh magufuli kuwa rais ,Tanzania imewahi kuwa namba moja kama ilivoelezwa hapa,? Kwanini tusiseme ni juhudi za jpm ?
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππHuyo Kawe Alumni na GENTAMYCINE nadhani ni Vila..za grade 1 hapa jf mmoja mwenyekiti mwingine katibu.
Ahaaaa! hiyo ndo avatar ya jiwe mwenyewe!Acha kutaka kutujaza mafui
Vivutio vilikuwepo vitaendelea kuwepo usije na stori zako hapa useme Magufuli nyenyenyee
Vivutio ni asili
Jisumbue kusoma utatambua haya yanasemwa kila mwaka
[emoji2]Tunamshukuru sana magufuli kwa kutuletea vivutio bila yeye Tanzania tusingekuwa na vivutio
[emoji168][emoji168]Nchi yetu inapiga hatua kubwa sana
Mazingira mazuri yanayowekwa na Rais Magufuli yanachochea utalii