CNN: Tanzania yatoa kivutio namba 1 cha kutembelewa kwa mwaka 2020, yazishinda nchi nyingine 30

CNN: Tanzania yatoa kivutio namba 1 cha kutembelewa kwa mwaka 2020, yazishinda nchi nyingine 30

Pongezi Kwa serikali ya awamu ya 5 Kwa kutuletea wanyama wanaohama.

Mbona tuna vivutio viwili Tu? Burigi paradise haimo? Hii list ni feki, c tumesikia Yale manyani ya Burigi yanahama Pia kuelekea Rwanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bila mazingira mazuri yaliyowekwa na mh.rais Haya yangekuwepo,je kabla ya mh magufuli kuwa rais ,Tanzania imewahi kuwa namba moja kama ilivoelezwa hapa,? Kwanini tusiseme ni juhudi za jpm ?
Acha kutaka kutujaza mafui
Vivutio vilikuwepo vitaendelea kuwepo usije na stori zako hapa useme Magufuli nyenyenyee
Vivutio ni asili
Jisumbue kusoma utatambua haya yanasemwa kila mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha , br ndo unajua saivi 2shawazoea hao
Alumn na Gent... tushawazoea wazee wa kuponda kila kitu ila Q400 bombadia naona wameumia sana, make wangeeleza mpk ya ndani ya mahakama kumshangilia mkulima
 
Tungetengeneza mazingira ya kufika kileleni bila kulazimika kupanda kwa tabu mlima, mount kilimanjaro kingekuwa kivutio cha kwanza Afrika cha wakati wote. Kuwe ata na kamba ama viberenge vya kufika kileleni na mtaweza kusajili watalii 3mil kwa ajili ya mlima tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bila mazingira mazuri yaliyowekwa na mh.rais Haya yangekuwepo,je kabla ya mh magufuli kuwa rais ,Tanzania imewahi kuwa namba moja kama ilivoelezwa hapa,? Kwanini tusiseme ni juhudi za jpm ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mafanikio yote hayo yanatokana na jitihada za serikali ya awamu ya tano ?
 
Acha kutaka kutujaza mafui
Vivutio vilikuwepo vitaendelea kuwepo usije na stori zako hapa useme Magufuli nyenyenyee
Vivutio ni asili
Jisumbue kusoma utatambua haya yanasemwa kila mwaka
Ahaaaa! hiyo ndo avatar ya jiwe mwenyewe!
 
Why not Kenya?
The migration starts from Tanzania .........then back to south again. This speaks volume where is their home. They just visit kenya to exploit the land...
 
Back
Top Bottom