CNN Video: Bashar Al Asad aliyekuwa Rais wa Syria ni kielelezo cha watawala walivyo na tamaa na mafisadi. Angalia utajiri wa magari aliyojilimbikizia

Ukiona media za kimarwkani zinaambatana na waasi waliopindua utawala jua ni damage control, jana media imepewa tour kwenyw ikulu ya huko syria
 
Your browser is not able to display this video.


Ali Mamlouk, Mkuu wa Huduma ya Siri ya Syria na Nshauri wa Usalama (Head of Syria’s Secret Service and Security Advisor) wa Dikteta Assad akitoroka kwa Boti akiwa na baadhi ya ndugu zake😀😀😀

Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy
 
Watu weusi na waarabu ndio waleta matatizo hapa duniani hivi vichwa viwili visingekuwepo kwenye uso wa dunia basi DUNIA INGEKUWA MAHALA SALAMA SANA.
Bisha kwa hoja sio mihemko yako
 
Na yote haya aliyoyachuma kwa wizi na kudhulimu uhai wa wapinzani wake kama magari, fedha, majumba na mali zingine hatazikwa nazo kaburini lakini zinarudi zilikotoka...
Hakuna jipya chini ya jua, ni ubatiri mtupu
 
Watu weusi na waarabu ndio waleta matatizo hapa duniani hivi vichwa viwili visingekuwepo kwenye uso wa dunia basi DUNIA INGEKUWA MAHALA SALAMA SANA.
Bisha kwa hoja sio mihemko yako
Absolutely
 
Kwa Syria naona hawatakuwa kama Arab Spring wakati ule bali wataijenga nchi yao kama Israel itawaacha
Ila tatizo linakuja Kuna vikundi kama vitatu baina yao na hilo ndio mtihani
Tuwaombee wawe na maelewano tu
Israel huwa hana tatizo na majirani zake kama hawatomshambulia. Rejea historia, hasa uvamizi wa Oct 7
 
Si kwa ubaya lkn hutoona hao CNN na TAKATAKA za aina Yao kama BBC wakionesha Ushenzi wa viongozi wa Ulaya na mali walizomiliki kinyume na Sheria, mfano ufalme wa uingereza kumiliki mali zilizoporwa Ktk tawala zingine, umiliki wa utajiri ambao hauna chanzo halali.

Anyway hao wote ni washenzi
 
Israel huwa hana tatizo na majirani zake kama hawatomshambulia. Rejea historia, hasa uvamizi wa Oct 7
Lakini wameisha chukua maeneo kadhaa Golan Heights
Wanasema ni kwa ajili ya usalama ila ni ubabe tu hiyo milima matatizo yake hayataisha
Hizo sehemu ukipita ni misukosuko tu miaka na miaka huwa hapatulii yaani mashariki ya kati
 
 
nchi imeharibiwa na Asad , Boris alijiuzuru ila Asad aliona asababishe vifo vya wasyria ili abakie madarakan
 
Kwa sasa yuko zake Moscow na familia yake. Alianza kununua majumba na kuhifadhi fedha zake huko tangu kipindi cha vita.
Mke wake ana uraia wa Uingereza amezaliwa na kukulia huko.
 
Pesa
Pesa za drugs hizo pia... zimempa utajiri
 
Hivi mnafahamu Mshahara wa Rais wa nchi, una kidhi kununua garage za kifahari 5 kila mwezi?
Na chenji ikabaki?
 
Hivi mnafahamu Mshahara wa Rais wa nchi, una kidhi kununua garage za kifahari 5 kila mwezi?
Na chenji ikabaki?
Sijui ni kwanini unaniuliza swali hili mimi...

Maana unachokistaajabia wewe ndiyo hichohicho na mimi kinanishangaza...

Kwamba, Rais yeyote duniani akiwemo huyu bibi yetu Samia Suluhu Hassan wa Tanganyika kwa mshahara wake wa kiwango chochote cha haki, hawezi kuwa trilionea wa kiwango cha Elon Musk iwapo si mwizi na fisadi.

Kwa hiyo, no doubt kuwa, huyu alikuwa mwizi na fisadi tu kama walivyo wengi kwa kutumia vibaya madaraka yake kujinufaisha binafsi yeye na rafiki zake...
 
 

Attachments

  • IMG_0375.jpeg
    96.5 KB · Views: 3
Halafu ni ya maonesho au..!?
Najiuliza, akiwa madarakani ni wakati gani alikuwa akiyatembelea hayo magari ilihali Kiongozi wa nchi anakuwa na msafara wa magari ya serikali..?
 
Hahaha utashangazwa Siku CCM wakiondoshwa madarakani, utamuaonea huruma Asad nakusema alikuwa cha mtoto. lakini iko siku CCM itaondoka na Nchi itarudi kwa wenye nchi. Tanganyika ni lazima.
 
nchi imeharibiwa na Asad , Boris alijiuzuru ila Asad aliona asababishe vifo vya wasyria ili abakie madarakan
Hahaha kama ma CCM yanavyofanya, naamini iko siku yataondoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…