Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jipya chini ya jua, ni ubatiri mtupuNa yote haya aliyoyachuma kwa wizi na kudhulimu uhai wa wapinzani wake kama magari, fedha, majumba na mali zingine hatazikwa nazo kaburini lakini zinarudi zilikotoka...
AbsolutelyWatu weusi na waarabu ndio waleta matatizo hapa duniani hivi vichwa viwili visingekuwepo kwenye uso wa dunia basi DUNIA INGEKUWA MAHALA SALAMA SANA.
Bisha kwa hoja sio mihemko yako
Israel huwa hana tatizo na majirani zake kama hawatomshambulia. Rejea historia, hasa uvamizi wa Oct 7Kwa Syria naona hawatakuwa kama Arab Spring wakati ule bali wataijenga nchi yao kama Israel itawaacha
Ila tatizo linakuja Kuna vikundi kama vitatu baina yao na hilo ndio mtihani
Tuwaombee wawe na maelewano tu
Lakini wameisha chukua maeneo kadhaa Golan HeightsIsrael huwa hana tatizo na majirani zake kama hawatomshambulia. Rejea historia, hasa uvamizi wa Oct 7
Si kwa ubaya lkn hutoona hao CNN na TAKATAKA za aina Yao kama BBC wakionesha Ushenzi wa viongozi wa Ulaya na mali walizomiliki kinyume na Sheria, mfano ufalme wa uingereza kumiliki mali zilizoporwa Ktk tawala zingine, umiliki wa utajiri ambao hauna chanzo halali.
Anyway hao wote ni washenzi
nchi imeharibiwa na Asad , Boris alijiuzuru ila Asad aliona asababishe vifo vya wasyria ili abakie madarakanSisi mama yetu ana magari ya kifahari kayaficha Saudi Arabia na Zanzibar ni mengi kuliko hata hayo ya bashall assad.kwa asadi kuwa na magari hayo ni kawaida maana Nchi Yao ni tajiri lakini imeharibiwa na makundi ya kigaidi na Kwa Sasa Nchi inaharibika zaidi.
Pesa za drugs hizo pia... zimempa utajiriView attachment 3175953
Hapa duniani jamani tunapita tu....
Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni kuwatumikia wananchi..?
Umezipata wapi mali hizi kama si kuiba na kufisadi nchi huku watu unaowaongoza 85% wakiwa hawana hata uhakika wa kuweka chochote mezani wale..?
Sasa hayupo madarakani tena na obvious watamuua kwa kumnyonga.....
Na yote haya aliyoyachuma kwa wizi na kudhulimu uhai wa wapinzani wake kama magari, fedha, majumba na mali zingine hatazikwa nazo kaburini lakini zinarudi zilikotoka...
Mwingulu Nchemba na Samia Suluhu Hassan na wenzenu jifunzeni kwa hili na tengenezeni mambo yenu kabla hayajaja kwenu na watoto wenu...
Hivi mnafahamu Mshahara wa Rais wa nchi, una kidhi kununua garage za kifahari 5 kila mwezi?View attachment 3175953
Hapa duniani jamani tunapita tu....
Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni kuwatumikia wananchi..?
Umezipata wapi mali hizi kama si kuiba na kufisadi nchi huku watu unaowaongoza 85% wakiwa hawana hata uhakika wa kuweka chochote mezani wale..?
Sasa hayupo madarakani tena na obvious watamuua kwa kumnyonga.....
Na yote haya aliyoyachuma kwa wizi na kudhulimu uhai wa wapinzani wake kama magari, fedha, majumba na mali zingine hatazikwa nazo kaburini lakini zinarudi zilikotoka...
Mwingulu Nchemba na Samia Suluhu Hassan na wenzenu jifunzeni kwa hili na tengenezeni mambo yenu kabla hayajaja kwenu na watoto wenu...
Sijui ni kwanini unaniuliza swali hili mimi...Hivi mnafahamu Mshahara wa Rais wa nchi, una kidhi kununua garage za kifahari 5 kila mwezi?
Na chenji ikabaki?
Watz kwa kuchunguza ya wengine na kuchambua mpo makini kweli.
kuna andiko linasema toa kwanza boliti lililo ndani ya jicho lako ndipo utakapoona vyema kutoa kibanzi kwenye jicho mwenzako.
Hapa kwenu bandari imeuzwa.mbuga za wanyama na ufisadi njenje wa kuona kwa macho lakin ya huko umeyakodolea jicho haswa ni aibu kubwa sana.Wamasai walitimuliwa bila kugangamala wenyewe saivi wangekuwa msemera huko na sisi tuna watazama tu.OVYOOOO
Mwigulu na wenzake.Huku kwetu wa aina hiyo wapo au hawapo?
Hahaha kama ma CCM yanavyofanya, naamini iko siku yataondoka tu.nchi imeharibiwa na Asad , Boris alijiuzuru ila Asad aliona asababishe vifo vya wasyria ili abakie madarakan